Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavichwa maji tu ndiyo wataendelea kuamini huu uhuniYa mkewe imetoka akiwa na mwanaume mwingine
Sijui km ni kweli au lah nimeona tu mitandaoniMavichwa maji tu ndiyo wataendelea kuamini huu uhuni
Kama hii ya nguza ilkua ni igizo basi ni hatar sana Kwa ule ushahid uliosukwa unless kama haujawai soma hukumu zake kuanzia mahakama ya Hakimi mkazi mpka court of appeal"Nguza alikanyaga nyaya za kigogo wa state mliona kilichotokea."
Hii ni topic japo umeiweka kama sub topic.
Ulipoongea ya Babu seya ndio nikaamini we ni popoma,wale wa "hearsays with no facts" yaani kesi rufaa ikatwe mpaka mahakama ya afrika halafu waangukie pua? Muulize Mabere Nyaucho Marando akueleze ukweli wa Mambo,mwanzoni ulipoanza thread yako nikajua una hoja Ila ulipofika hapo tu nikagundua kumbe ni mzee wa virojaUnaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media.
they believe everything from the social media without critical analysis, cha ajabu hata vyombo vya habari now days vimekuwa useless, wapo busy na nani atakuwa wa kwanza ku post.
Hii imenikumbusha enzi ya Babu Seya, Baba Kaka na watoto wote sehemu moja wamebaka.
Mwisho kabisa inakuja kujulikana kuwa jamaa alikanyaga nyaya hatari. Hiki ndio kimemkuta Baltazari matokeo yake jamaa kachafuka na wameharibu reputation ya familia
Now days kuna AI na Machine learning ambazo ni ngumu kutofautishq outputs zake na original. Ndio kinachomkuta Baltazar baada ya kukanyaga nyaya Hatari kwenye pita pita zake ndani ya jengo kuu
Vijana tuwe makini, sio kila nyaya inayojileta unataka pita nayo, chunguza kwanza mtu wake anapower kiasi gani na how stronger uta handle mikiki, wanawake wengi wa vigogo ikulu wana stress hatari maana jamaa zao hawana
Muda na wanakuaga na multiple relationships kwenye heka heka zao na hata nguvu zinakuwa low to handle kwa ulienae ndani.
Matokeo yake ukimpata mtu wake na ukimgusa tu hakuachi halaf along the way wana lose control hadi jamaa yake anastuka…… WAFWA……kama Baltazar
Nguza alikanyaga nyaya za kigogo wa state mliona kilichotokea.
kitu kingine, vijana kwa dunia ya sasa it is not worth it kuweka family issue kwenye social media , siku ukijichanganya kwenye line za wahuni utakuja kunielewa
Hakuna ulazima watu kumjua mke wako au watoto zako, hata your Staff Members hawapaswi kujua anything about your spouse and family issue except work issues
we are not perfect
Kujichanganya ni kawaida in life, unaweza ukajikuta umeingia cha kike, hata kwenye financial conflict or property conflict, mapenzi.
Manipulations alizofqnyiwa Baltazar, Nguza na Hata Mzee Kimambi na wengineo inatupa akili tunapaswa kuwa makini kwenye pita pita zetu
Famili ya Baltazar ipo kwenye shame with fake videos just for the interest of one person at the top.
Kazi kwenu
Pale kuna picha za ukweli na AI, sio picha zote ni halisi, kwa kuwa kayakanyaga kwa baadhi ya wake za vigogo, system lazima imuuzie kesi nyingine za kutengeneza ili umma nao uone kuwa hatua zilizochukuliwa au zitakazochukuliwa kuwa hakuonewa. Na hapo wapo watakaotolewa kafara kwa sababu ya mtu mmoja.Ianze mara ya ngapi?
Na serikali nayo kutimua wahusika haikua na AI detector? Au unadhani serikali inakurupuka inapotoa uamuzi?
HakikaKîla Jambo linamalipo Yake.
Ukifanya uovu hata ujifiche vipi Shetani anakawaida ya kukuumbua ili udhalilike.
Ukifanya Mema hata ujifiche na ufanye Kwa Siri Wema huo Mungu anakawaida ya kukufichua ili uheshimike na utukuzwe.
Nimekufuatilia vizur maelezo yako legendTatizo kubwa watu hawajui how AI works . Halaf now days kuna tools za kufanya analysis za AI
AI DETECTOR IMESEma 💯 Ai, kwa mfano moja ya reasons iliyowekq AI detector ni hakuna proportional ya viungo vyao, mfano mikono, miguu na hata dick , sperms an blow job zao, voice modulation are not realistic , movement za sex are not realistic , miili yao kwa ujumla, kuna AI nyingine zilikuwa low quality …kwenye zile video … you can see hata kwa macho ya kawaida
Utaona most of the time jamaa ana cross his hands na kuweka kifuani….. that was low quality out put even local detectors can give you signal
Hivi why wa TZ NI washamba na mpo nyuma ya muda sana
Taifa linaloongoza kwa ujinga ni TZ , so easy to be manipulated; same as wanavoamini ishu ya p didy
All are fake and manipulative
Akili za kuambiwa changanya na za kwako, sawa amepita na wake wa vigogo ila picha ipi ya mke wa mwanasheria mkuu wa serikali au picha ya mkuu wa usalama umeiona ?Hakuna Al pale yaani waweke wake wa waheshimiwa public vile et Al aisee
Dada yangu unajifanya ngangari !!!!Wote wamwamini yeye ni nani?
Kwa bahati nzuri dada ni binadamu Tena mwenye thamani kubwa. Kukuthibitishia mwanamke ni kiumbe wa thamani, ni pale ambapo sisi wanaume huwa tunauana tukifumaniana, lakini sijawahi kuona mwanamke anaua mwenzake katika fumanizi! Hivyo kuniita dada hakunisumbuiDada yangu unajifanya ngangari !!!!
Video zote kuanzia mume na hiyo ya mke ni AI generatedSijui km ni kweli au lah nimeona tu mitandaoni
Nimeiona dhamani yako ndio maana nilikwita Dada au nimekosea ulitaka nikuite Mama ?Kwa bahati nzuri dada ni binadamu Tena mwenye thamani kubwa. Kukuthibitishia mwanamke ni kiumbe wa thamani, ni pale ambapo sisi wanaume huwa tunauana tukifumaniana, lakini sijawahi kuona mwanamke anaua mwenzake katika fumanizi! Hivyo kuniita dada hakunisumbui
Niite bibi kizee itapendezaNimeiona dhamani yako ndio maana nilikwita Dada au nimekosea ulitaka nikuite Mama ?
Niliiona ndioAkili za kuambiwa changanya na za kwako, sawa amepita na wake wa vigogo ila picha ipi ya mke wa mwanasheria mkuu wa serikali au picha ya mkuu wa usalama umeiona ?
Manamake yote yanayoonekana hayajulikani ila unasikia kalala na wake wa wakubwa hao wanawake Wala huwaoneshwiAkili za kuambiwa changanya na za kwako, sawa amepita na wake wa vigogo ila picha ipi ya mke wa mwanasheria mkuu wa serikali au picha ya mkuu wa usalama umeiona ?
Sawa Bibi nimekusoma wasalimie watoto zako wa Kike waambie Mdogo wake Balthazari anawasalimia sana.Niite bibi kizee itapendeza
Weka hata sura ya kagameTafuta picha za watu wengine utengeneze kwani picha si ziko kibao mitandaoni