Kwa haya ya Baltazar, kuna nyaya kwenye maisha hupaswi kuzikanyaga na pia privacy kwenye mambo ya familia ni muhimu

Kwa Nini pia karibu video zote ni dk 5 na sekunde kadhaa
 
Kama hii ya nguza ilkua ni igizo basi ni hatar sana Kwa ule ushahid uliosukwa unless kama haujawai soma hukumu zake kuanzia mahakama ya Hakimi mkazi mpka court of appeal
Yani wewe unaonesha unaamini hata Freeman ni Osama bin Laden ndio maana aliswekwa Lupango
 
Hii ya kurekodiwa huku wanajua ndio inaleta ukakasi aseee afu ni karibia zote
 
Hakuna mke wa kiongiozi hata mmoja kwenye video

Bali watu wameaminishwa kuwa ni wake za viongozi
Hakuna Al pale yaani waweke wake wa waheshimiwa public vile et Al aisee
KIAZI

NILETEE PICHA ZA WAKE WA HAO VIONGOZI , HALAF ANGALIA HIZO VIDEO KAMA KUNA HATA MMOJA

LETA PICHA YA MKE WA KIONGOZI AMBAE YUPO KWA VIDEO .

Kuweni Smart dunia inaenda kasi

Pia ni mafundisho msipende kuingia bifu na watu

Chuma pesa lea famia, bifu na wakuu hazifai

Ukila mke wa mtu make sure mme wake unamjua, ni mshamba tu au ni kibosile mwenye Power .

Hata ishu ya babu seya it was all about bifu, ingekuwa kwa sasa hata yeye angefanyiwa ivo

Hakuna uhalisia hata kwa akili ya kuzaliwa

U fucq all women na wake za wakubwa then ujirekodi, are you mad ?

Hata hivyo hizo video zote tumepitisha kwenye AI detector tool

Zote zimefeli tena kwa 100 💯, ni fake na ilikuwa ni project ya kumuangamiza jamaa kama ile project ya babu seya, Mzee Jumanne Kimambi na Binti wa dovya, au bifu la Ulimboka au Tundu Lissu



Ubaya ubwela
 
Hivi mnatuonaje watz? Kwamba ai wewe unaijua sanaaa wengine vichwa maji hawawezi kuona tale tale signs za ai generated images? Andaa movie ama series kwa ai zako upige hela, simple, why trying hard to prove a point on jf.
 
Safi sana mkuu, fundisha huyo.
 
Uko sahihi mimi niligundua tangu Day One ukizingatia kazi ya jamaa.

Ni kweli alikutwa na video mbili tatu lakini sio 400.

Wake wa mawaziri( waziri gani)
Wake wa vigogo( akina nani)
Mpwa wa Rais( jina lake nani)
Jamaa alikuwa Mkaguzi na Mpelelezi Mkuu wa CAG ya Guinea ya Ikweta. Sasa amegusa Mipunga ya Ma Tycoon.

Most likely hakutaka ku compromise, most likely alimgusa Theo Obiang au Genge lake.
M

Kwenye mapungufu ya mahusiano ya hapa na pale kwa wenzetu chama cha kijani hakuna anayeweza kupona.

Watu wana mafaili makubwa sana😀😀
 
Hivi mnatuonaje watz? Kwamba ai wewe unaijua sanaaa wengine vichwa maji hawawezi kuona tale tale signs za ai generated images? Andaa movie ama series kwa ai zako upige hela, simple, why trying hard to prove a point on jf.
Wewe ni Mjinga zile movie za magari kuruka hewani na kuwaka moto huzioni?
Movie za watu kulipuana risasi na mabomu je? Unaweza kututofautishie ukweli na usio ukweli.

Huna exposurw kaa kimya.

Yule Engonga ni kweli alipiga mashine live lakini zimekuwa Exagrated for their own reasons.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…