Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Upumbavu wa Lissu na genge lake.Uharakati umewaponzaThat is reality! View attachment 3301437
Lissu na genge lake lilaumiweThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipakaThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
lissu sio saizi yako wewe matyakoUpumbavu wa Lissu na genge lake.Uharakati umewaponza
Sasa wewe unaumia nini? Furahi kwasababu mtashinda kwa kishindo😂😂.Upumbavu wa Lissu na genge lake.Uharakati umewaponza
Hatumlaumu. Amefanya kile tunatakaLissu na genge lake lilaumiwe
CCM ilizoea vya haramu, vya halali haiwezi. Sasa endeleeni na huo uchaguzi wenu haramu mliouzoea.Pumbavu zenu, mnahubiri amani na mnachukia haki.That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Hamna uhalali wa kuzuia uchaguzi.Mkijaribu kuzuia uchaguzi ambao hamshiriki ni uhaini mwingineSasa wewe unaumia nini? Furahi kwasababu mtashinda kwa kishindo😂😂.
Nipo singida,hadi huku wanyaturu wanadai chadema walibugi kumpa chizi chama,na kitu kibaya habari zinazosambaa ni lisu kuhamasisha watu kuingia msituni,hata vijana wa chadema wanamlaumu lisuWalipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Ni kweli huwezi kunilinganisha na mtu mwenye uwezo wa kufanya uasilissu sio saizi yako wewe matyako
Watakuambia wewe ni CCM.Nipo singida,hadi huku wanyaturu wanadai chadema walibugi kumpa chizi chama,na kitu kibaya habari zinazosambaa ni lisu kuhamasisha watu kuingia msituni,hata vijana wa chadema wanamlaumu lisu
CCM wanaeneza propaganda kuwa lisu anataka kuingia msituni,na watu wengi hawana smart phone,hawapati taarifa bali zile za tv saa mbiliWatakuambia wewe ni CCM.
unadandia maneno kwa wajinga wenzio unaelewa maana ya uasiNi kweli huwezi kunilinganisha na mtu mwenye uwezo wa kufanya uasi