KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
Kwa akili zako watanzania wako chadomo peke yako? ACT sio watanzania?
 
Hata Chadema ikiingia madarakan hao wote uliowataja watageuka na kuwa waajiriwa wa Chadama.

#Chademakapuni.
Chadema haiwezi kuwa na akili kandamizi hizi...
NImeanza kumwelewa Lisu, huwezi kushiriki uchaguzi ambao watu wanauliwa kama panya kisa Uenyekiti wa mtaa
Ni mjinga tu ndio anaweza ingiza watu kufanya uchaguzi katika mazingira yaleyale yaliwafanya watu kufa, kubambikiwa kesi za mauji, kufungwa. Ni watu wenye uroho wa vyeo na uchu wa madaraka ndio wanaweza kushiriki uchaguzi nje ya hapo WAZALENDO NA WAPENDA MABADILIKO HAWAWEZI KUKUBALI.
 
SASA mnaumia nini cdm kutoshirik😂😂 nyie shindeni mpata kura zote. Cdm ishasema hakuna uchaguzi kwq refa anayeteuliwa na timu mpinzani.
-Polisi mwajiriwa wa ccm
-mwenyekiti wa NEC mteuliwa wa ccm
-wakurugenzi wateuliwa wa mwenyekiti wa ccm
-Walim waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm
-watendaji wa kata na vijiji waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm😂😂 afu unamlazimisha watu washiriki uchafuzi wa demokrasia.
Huo ni ujinga, Sasa mnapojiita wapigania Uhuru Kama Mandela halafu mnaingia mitini ni akili au matope?
Ndo chama limekufa Rasmi.
 
Chadema haiwezi kuwa na akili kandamizi hizi...

Ni mjinga tu ndio anaweza ingiza watu kufanya uchaguzi katika mazingira yaleyale yaliwafanya watu kufa, kubambikiwa kesi za mauji, kufungwa. Ni watu wenye uroho wa vyeo na uchu wa madaraka ndio wanaweza kushiriki uchaguzi nje ya hapo WAZALENDO NA WAPENDA MABADILIKO HAWAWEZI KUKUBALI.
Sure, watu wanauliwa kama panya kisa uenyekiti wa kitongoji
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Chadema haiwezi kuwa na akili kandamizi hizi...

Ni mjinga tu ndio anaweza ingiza watu kufanya uchaguzi katika mazingira yaleyale yaliwafanya watu kufa, kubambikiwa kesi za mauji, kufungwa. Ni watu wenye uroho wa vyeo na uchu wa madaraka ndio wanaweza kushiriki uchaguzi nje ya hapo WAZALENDO NA WAPENDA MABADILIKO HAWAWEZI KUKUBALI.
Wenzio wenye akili wameshaondoka huko we unasubiri nini, maisha mafupi dog utakufa wakati si wako, CCM bado ipo sana mpk vitukuu vyao
 
ukweli ni kwamba chadema hawakujipanga kwa chaguzi huru na haki hiki ndio kinawaumiza kichwa kwa sasa
Hii kawaambie wajinga. Uzuri wafuasi wa cdm na watanzania wengi wana uelewa wa kutosha. Muda wa cdm kuendelea kushiriki chaguzi za kihuni wakati wana sababu zote za msingi, umeshapita. Endeleeni kushiriki mnaofaidika na hizo chaguzi za kihuni.
 
Huo ni ujinga, Sasa mnapojiita wapigania Uhuru Kama Mandela halafu mnaingia mitini ni akili au matope?
Ndo chama limekufa Rasmi.
😂😂😂Kwani lazima chadme ifanye uchaguzi wa kijinga!! Ingieni msitu na waliosaini hizo kanuni.... Chdm sio chama chakufanywa ngazi ya demokrasia mfu ndani ya Tz. Zilikuwa zama za tapeli la siasa Mbowe ila sio zama za mzalendo Lissu... Nyeusi n nyeusi na nyeupe n nyeupe.
 
Wenzio wenye akili wameshaondoka huko we unasubiri nini, maisha mafupi dog utakufa wakati si wako, CCM bado ipo sana mpk vitukuu vyao
Acha vitukuu, inatakiwa iwe na ofisi mbinguni hata ahera. Lakini kushiriki chaguzi za kishenzi ni mwiko.
 
😂😂😂Kwani lazima chadme ifanye uchaguzi wa kijinga!! Ingieni msitu na waliosaini hizo kanuni.... Chdm sio chama chakufanywa ngazi ya demokrasia mfu ndani ya Tz. Zilikuwa zama za tapeli la siasa Mbowe ila sio zama za mzalendo Lissu... Nyeusi n nyeusi na nyeupe n nyeupe.
Nyie kwisha hbr yenu, hilo lofa litabaki lenyewe baada ya kutoka korokoroni
 
Back
Top Bottom