KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

Hii kawaambie wajinga. Uzuri wafuasi wa cdm na watanzania wengi wana uelewa wa kutosha. Muda wa cdm kuendelea kushiriki chaguzi za kihuni wakati wana sababu zote za msingi, umeshapita. Endeleeni kushiriki mnaofaidika na hizo chaguzi za kihuni.
Uwepo wa chadema hauna maana Tena kwa Watanganyika, Bora hata Mbowe alikuwa na covid 19 kule bungeni kuliko nyie tone tone hadi2030.
 
Lini hiyo chadomo yenu imeisumbua CCM tena tangia baada ya uchaguzi wa 2015?
😂😂😂Utakuwa tahira kuuliza maswali mangu ambayo unayajua. Kama haisumbui kwanini msikubali kukafanyika marekebisho ya taratibu za uchaguzi, mbona hamtaki wakuregenzi, watendaji wa kata wasiwe shm ya usimamizi wa uchaguzi?. Unataka kushinda katika mazingira uliyoyatengeneza ww yasiyowapa wenzako haki sawa na yako?.
 
Hii kawaambie wajinga. Uzuri wafuasi wa cdm na watanzania wengi wana uelewa wa kutosha. Muda wa cdm kuendelea kushiriki chaguzi za kihuni wakati wana sababu zote za msingi, umeshapita. Endeleeni kushiriki mnaofaidika na hizo chaguzi za kihuni.
ni wakati chadema kutizama waliko anguka sasa wenye akili tayari wamechezwa na machale nafikiri
 
Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia

Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge

Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Uchaguzi si umefanyika ule wa serikali za mitaa?
Kuna walioshinda wangapi?
Ni ujinga kutumika kuonyesha kuna ushiriki wa vyama vingi,wakati hakuna uchaguzi HURU na wa HAKI.
Hii haikubaliki.
 
Na wala cdm isiwe na muda wa kujitetea kwenye hizo propaganda outdated. Msimamo ni mmoja tu kwa sasa, NRNE.
Wakati unazungumza hizi simple poolitis, kumbuka kuwa kuna watu pale Chadema ndio kazin kwako, ndio wanapategema wapate kulisha familia, kusomesha watoto na mambo mengine kama hayo. Usichukulie simple hivyo! Kuna watu CDM ikifa inabdi warudi kijijin kulima.

#TwendenaMAMA2025.
 
Nyie kwisha hbr yenu, hilo lofa litabaki lenyewe baada ya kutoka korokoroni
Kumbe mnajua hana kesi😂, chadema haitaji nguvu kuinadi ni watu wanaipenda.... Umewahi sikia diamond kwenye mikutano yake!. Cdm n mpango wa Mungu.
 
Uwepo wa chadema hauna maana Tena kwa Watanganyika, Bora hata Mbowe alikuwa na covid 19 kule bungeni kuliko nyie tone tone hadi2030.
Watanganyika hatutaki siasa za kitapeli tena. Endeleeni nyie mnaofaidika na hizo siasa za kihuni.
 
Back
Top Bottom