nawasiwasi kura zilipigwa chenjikotaPesa baba, Mbowe alijua Lisu hana hela hivyo angempiga kiulaini. Kumbe Lisu kazikusanya za wazungu. Lahaulah!!!
nawasiwasi kura zilipigwa chenjikotaPesa baba, Mbowe alijua Lisu hana hela hivyo angempiga kiulaini. Kumbe Lisu kazikusanya za wazungu. Lahaulah!!!
Wewe siyo msemaji wa wanna CCM, semea chadema hamna wagombea ndo hamtapiga kura. Watu wenyewe hata laki hamfiki.Hakuna uchaguzi, we shupaa shingo tu. Katika nchi yenye watu 60 mil waliojiandikisha 45 mil mtakaopiga kura milioni 4. Huo utaita uchaguzi au kichekesho%?! Mana hata ccm jawatapiga kura wote!
Wewe unataka machafuko?Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
Upuuzi upi?😃😃😂 Alama katika demokrasia ipi, KUKUBALI upuuzi kuwa sehem ya kukwamisha mapambano ya kweli ya kuiondoa ccm dhalim madarakani?.
Ukiambiwa hakutakuwa na uchaguzi ueleweWewe siyo msemaji wa wanna CCM, semea chadema hamna wagombea ndo hamtapiga kura. Watu wenyewe hata laki hamfiki.
Utanipa vyeo vyote hapa TZ hata cheti za VETA ninacho nilihudhuria mafunzo pia🤣🤣Utakuwa ni polisi, maana polisi wengi ndio wanajua computer kwa kutumia nguvu bila akili. Nyie ndio mnasababisha wasomi kuambiwa warudi VETA. Yaani kama huo utopolo ndio unasema umesomea Forensic, basi elimu yetu ni uchafu mtupu.
Wewe ni takataka, 2015/2020 ningekuwa sehemu ya mchakato wa usimamizi wa huu mnaoita uchaguzi so ninachoongea Nina experience nacho vizuri sana.We mbwa wa kizungu, sikiliza nikwambie. Kama hujui siasa za Tanzania kalale usingizi wa pono hadi uloanishe godoro.
Watanzania wengi hatuna akili ya siasa. Tumejaa unafiki, majungu na kulalamika bila kuchukua hatua. Wengi wetu siku ya kupiga kura hatuendi vituoni kupiga kura, eti hata nisipopiga CCM itashinda tu. Huu ndiyo ujinga wa Watanzania wengi hasa vijana.
Jukumu la kupiga kura tumewaachia wazee na vikongwe, tunajifanya tuko bize. Kundi kubwa la vijana miaka 30 kurudi nyuma lililoko mtaani hata vitambulisho vya NIDA na kupiga kura hawana.
Sasa kama hata kitambulisho huna, ushindi wa CDM utapatikana kwa kupiga kelele majukwaani bila kupiga kura?
Watanzania hasa vijana badilikeni, simameni kapigeni kura kwa dhati, CCM inaweza kabisa kuangushwa. Ni kwa kupiga kura na siyo harakati njaa mnazozifanya mtaani na mitandaoni.
Hao wabunge wachache wanaoshinda ni ushahidi kuwa watu wakiamua wote kabisa bila visingizio wala unafiki tukapige kura na tukapigie kura chama tunachotaka, CCM lazima ianguke.
Na kama ni wizi wa kura utaonekana wazi kwani kura zinahesabiwa na wawakilishi wetu na zinabandikwa wazi kwenye kituo cha kupigia kura.
Tusimame tutende badala ya kuwasingizia walimu na polisi.
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Ilitegemewa huo mpasuko iwe ndio taswira ya cdm. Kww bahati mbaya hao G55 wamepewa hela kufanya hujuma ili kuharibu taswira ya uongozi mpya wa cdm, lakini kitendo cha cdm kutosaini kushiriki uhuni, hilo group limekaa kwa kutulia.CDM inasafari ndefu Sanaa kushika
dola kwaa huu mpasuko waliounesha ndani lbd kitokea chama kingine
mbadala apaaa katikati chenye nguvu.Tofauti na hapo itabaki ndoto