Chadema kijiandae kukimbiwa na wana
RIP Chadema ,Mbowe alikupenda sana lakini Lisu kakupeleka machinjioni kiblaThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437

