barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Baba jeni
🙄🙄🙄🙄Nakukaribisha na wewe uje tujenge nchi
Mabadiliko na mendeleo hayaji kwa kususa
Mimi sio ChawaKwanini wewe hujabebwa
Au ndio hubebeki
Kama unahisi kanisa au msikiti Ni yale majengo unayoyaona basi bado upo usingizini, upinzani upo ndan ya mioyo ya wanyonge,wenye vyama na hata wale wasiokuwa na vyama. Safari ya kumkomboa mama Tanzania ndio kwaaanza inaanz Bi nan asijidnganye.That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Wala hatutamani kushiriki huo utoto wa ukubwani.Mtakuwa ni watazamaji tu, hao 18 ni wenzetu![]()
Mimi sio Chawa
Sijamwita yeyote chawa
Na wala kuwa CCM au chama kingine sio kuwa chawa
Kwenye nchi yenye ufisadi chini ya uongozi wa kidikteta ni lazima uwe Chawa ndipo uendane na mtawala kwa ajili ya kupiga dili kimya kimya
Recently Mashabiki wa CDM wameshindwa kutofautisha politics na uanaharakati (radical activism), so wajitoa kwa race kijinga sana, walifikiri eti wanaweza simamisha process yote ya uchaguzi
Mtanzania gani?chadema imejijengea picha ya uhaini kwa watanzania
..bora kuwa chawa kuliko kuwa mfuasi wa LissuKwenye nchi yenye ufisadi chini ya uongozi wa kidikteta ni lazima uwe Chawa ndipo uendane na mtawala kwa ajili ya kupiga dili kimya kimya
Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
..okay, mapumziko mema see U in 2030/31Wala hatutamani kushiriki huo utoto wa ukubwani.
Weka uthibitisho ili watu wakuamini,other ways hoja Yako haitakuwa na nguvu.Nipo singida,hadi huku wanyaturu wanadai chadema walibugi kumpa chizi chama,na kitu kibaya habari zinazosambaa ni lisu kuhamasisha watu kuingia msituni,hata vijana wa chadema wanamlaumu lisu
Mwaka 2020 niliwalaumu kwa kutokushiriki uchaguzi ila kwa kweli binafsi nawaunga mkono kwa hili na kwa yale niliyoyashuhudia 2024 nikiwa kama Afisa uchaguzi Wilaya moja na yale maagizo ya Mchengerwa na ile Simu ya Mama Abdul aliyompigia Mchengerwa pale Kibaha kwenye kikao cha MaDED na MaDC.Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Itafika 2050 bado mtasema hv hvYeye ndio aliasisi huu upumbavu na mwenzie ameendeleza, toka wabake uchaguzi 2020 na waTz wakabakia kimya ndio utakua mchezo huo kila uchaguzi.
Alaaniwe aliyeasisi huu upumbavu
Bro kutoka moyoni. Wacha wapumzike kwani ule sio uchaguzi ni uchafuzi...okay, mapumziko mema see U in 2030/31
The World 🌎 is Living, Suffering is your Choice.Kwa yale niliyoyaona na kuyashuhudia katika miaka 2019, 2020 na 2024 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Nawaunga Mkono CDM. Hao walio kubali wakiwa na nia kweli ya kutaka mageuzi, wasingekubali kuingia kwenye uchaguzi na pia kama watanzania tungekuwa na akili, tungekuwa uchaguzi kwani mabilioni ya pesa yanapotea bila sababu.
Ule sio uchaguzi bali ni uchafuzi. Wanavuja na kutapanya pesa bila sababu yoyote ya maana.
Inasikitisha.