Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,780
- 16,928
Nadhani kutakuwa na kina Lissu hata 100,2030 Lissu atakuwa na miaka 91, ataweza kweli kukinukisha?
u plant them, get ready to face them!
Nadhani kutakuwa na kina Lissu hata 100,2030 Lissu atakuwa na miaka 91, ataweza kweli kukinukisha?
Umeongea umaku sana matako wewe cdm haifi malaya mbovu weweThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Kwa msingi huo una maana ulitaka kuona mauaji yakiendelea! Basinwauwane wenyewe kwa wenyewe hivyo vyama 18 ndio gani hivyo ukiacha ACT Zanzibar sanasana.Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Kwa msingi huo una maana ulitaka kuona mauaji yakiendelea! Basinwauwane wenyewe kwa wenyewe hivyo vyama 18 ndio gani hivyo ukiacha ACT Zanzibar sanasana.
Utakuwa ni polisi, maana polisi wengi ndio wanajua computer kwa kutumia nguvu bila akili. Nyie ndio mnasababisha wasomi kuambiwa warudi VETA. Yaani kama huo utopolo ndio unasema umesomea Forensic, basi elimu yetu ni uchafu mtupu.Mimi ni msomi wa Forensic Computing hivyo hiyo audio nimeifanyia forensic examination na nikajiridhisha kuwa huyo ni Mhaini Lissu. Usifikiri mimi ni nyumbu kama wewe!🤣🤣🤣
Amebaki Heche anabweka tu kama mbwa koko!Upumbavu wa Lissu na genge lake.Uharakati umewaponza
Tuliwaambia huyu zezeta hana akili timamu za kuongoza chama, wakatuona sisi maadui; sasa yamewakuta kwa sababu ya upuuzi wa siasa zake za mihemuko ya kijinga.Walipomchagua tundu nilisema kifo cha chadema kimewadia
Haya, nawapa pole waliojiandaa kugombea udiwani na ubunge
Kaka Freeman Mbowe wanao wanakukumbuka haki
Heche naye tunamsubiri ajichanganye akihamasisha uasi kamata mahakamani akili ikae sawaAmebaki Heche anabweka tu kama mbwa koko!
anthropology haiko hivyo, miaka 2000 sasa hajazaliwa yesu mwingine, hajawahi tokea martin lurther mwingine wala mtemi mwanamalundi hajawahi tokea, hizi siasa za lissu hamnakitu, kwanza wamwache tu aje tukimbizane naeNadhani kutakuwa na kina Lissu hata 100,
u plant them, get ready to face them!
misri walivyomnyonga Mohamed Morsi kundi la muslim brotherhood likafa kifo cha mende, lissu kwenda front ilikuwa technical error, alitaka kujifanya mama lakwena.Tuliwaambia huyu zezeta hana akili timamu za kuongoza chama, wakatuona sisi maadui; sasa yamewakuta kwa sababu ya upuuzi wa siasa zake za mihemuko ya kijinga.
Acha uongoNipo singida,hadi huku wanyaturu wanadai chadema walibugi kumpa chizi chama,na kitu kibaya habari zinazosambaa ni lisu kuhamasisha watu kuingia msituni,hata vijana wa chadema wanamlaumu lisu
Na yeye ataingia tu kwenye anga.Heche naye tunamsubiri ajichanganye akihamasisha uasi kamata mahakamani akili ikae sawa
nashindwa kuelewa lissu alimzidije mbowe ujanja hadi akawa mwenyekiti, walishindwaje hata kumnyima tu form ona sasa kaua chama, usijekuta hata huo uhaini janja yake tuNimefurahi sana .. hii inamaana hawatashiriki uchaguzi mkuu.. hawatakuwa na sababu ya kupanda majukwaani sababu hawapo kwenye kinyang'anyiro chochote .. lissu ameizika rasmi chadema
mimi"hatuendi kupiga kura" Wewe na nani mkuu?
We mbwa wa kizungu, sikiliza nikwambie. Kama hujui siasa za Tanzania kalale usingizi wa pono hadi uloanishe godoro.We ***** hujui ndio wanaopiga kula za wizi ili ccm ishinde!! Bata ww
Pesa baba, Mbowe alijua Lisu hana hela hivyo angempiga kiulaini. Kumbe Lisu kazikusanya za wazungu. Lahaulah!!!nashindwa kuelewa lissu alimzidije mbowe ujanja hadi akawa mwenyekiti, walishindwaje hata kumnyima tu form ona sasa kaua chama, usijekuta hata huo uhaini janja yake tu