KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
Tubaki na ukondoo wetu milele kusud tuepuke machafuko 🤙
 
Hata hiyo 2030 hatuhitaji kushiriki uhuni, na siasa tutaendelea kufanya muda wote.
..so mnalilia nini fungeni mjadala basi, u'r no longer significant in Tz politics
 
  • Thanks
Reactions: UCD
..so mnalilia nini fungeni mjadala basi, u'r no longer significant in Tz politics
Siasa za Tanzania hazipimwi na uchaguzi unaoshirikisha vyama vya siasa tu. Labda hujui siasa ni nini. Cdm wameamua kujitenga na siasa za chaguzi za uongo na sio siasa.
 
Mbona huko mbali, kwanini msikifute usiku wa leo?
Mbona tayari huwaoni G55 plus 200 viongozi. Na hakuna uasi utatokea hivyo mabeberu hayatatoa pesa kama anavyosema Mhaini Lissu hapa chini.
 
Siasa za Tanzania hazipimwi na uchaguzi unaoshirikisha vyama vya siasa tu. Labda hujui siasa ni nini. Cdm wameamua kujitenga na siasa za chaguzi za uongo na sio siasa.
Okay, best wishes
 
Mbona tayari huwaoni G55 plus 200 viongozi. Na hakuna uasi utatokea hivyo mabeberu hayatatoa pesa kama anavyosema Mhaini Lissu hapa chini.
View attachment 3302046
Nimecheka kwa nguvu, ww utakuwa ni mzee lazima, nyie ndio huwa mnachotwa na maigizo ya aina hii? Mambo ya Steve Nyerere kuwa na sauti kama ya Nyerere. Nimecheka hatari.
 
Duuh, hivi Samia unaweza kumsimamisha popote chini ya mbingu na kumshindanisha na Lisu kwa hoja yoyote inayowahusu wanadamu labda majini 😂😂😂😂😂

Yaani Samia hata angekoswa na jiwe asingejeribu tena kuingia kwenye siasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

Yaani Chama tawala amepita bila kupingwa ndani ya chama lakini angalia pesa na rushwa anazomwaga .

Mabango nchi mzima .
Unajua gharama ya kuchapisha bango moja wewe?
Pikipiki Elfu 17 sio mchezo .
Mpaka radio za Samia zimetengenezwa na wachina .
Bado tu kuzalisha vifarangaa vilivyoandikwa SSH Mitano tena .
Halafu gharama zote na maandalizi mpaka polisi wanawake nchi nzima walishona vitenge vya Samia mitano tena wanakwenda kushindana na Chauma .
CCM wamepata hasara kubwa sana .
Hata majukwaa yao hawatakua na hoja za maana . Utabeba watu na malori ili iweje wakati hakuna ushindi ni lazima na ushindani ni dhaifu.
Aibu kubwa sana
. Unafikiri Samia na Kundi lake wanamhofia nani zaidi ya Lisu.?

Huoni kwamba kundi la mafisadi la Samia linapata maumivu makubwa sana baada ya kutumia fedha nyingi na kuwaumiza wananchi wakati Chandema hawashiriki .

Wewe ni mtu wa akili ya kawaida kabisa unayewaza maisha yako binafsi na familia yako jambo ambalo hata wanyama wanawaza hivyo hivyo .
Umewahi kuandaa chakula Kingi cha gharama kwa ajili ya wageni halafu wale wageni wakaghairi kuja siku hiyo ?🤣🤣🤣🤣🤣
Utawalalamika na kuwalaumu sana kwama vile umepata hasara kumbe hata wangekuja bado chakula kingeingia matumboni mwao na kwenda chooni bila kurudishiwa pesa gharama zako .
Umeanza kum-worship your fake GOD
 
Nimecheka kwa nguvu, ww utakuwa ni mzee lazima, nyie ndio huwa mnachotwa na maigizo ya aina hii? Mambo ya Steve Nyerere kuwa na sauti kama ya Nyerere. Nimecheka hatari.
CHEKA kwa nguvu mpaka 2030/31
 
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
Duuh sio dikteta uchwara tena
 
Attachments

  • 20240523_111438.jpg
    20240523_111438.jpg
    164.5 KB · Views: 13
Nimecheka kwa nguvu, ww utakuwa ni mzee lazima, nyie ndio huwa mnachotwa na maigizo ya aina hii? Mambo ya Steve Nyerere kuwa na sauti kama ya Nyerere. Nimecheka hatari.
Mimi ni msomi wa Forensic Computing hivyo hiyo audio nimeifanyia forensic examination na nikajiridhisha kuwa huyo ni Mhaini Lissu. Usifikiri mimi ni nyumbu kama wewe!🤣🤣🤣
 
Ni uoga na ujinga tu wa watanzania. Kwa jinsi CCM inavyoendesha hii nchi tungekuwa na machafuko tayari miaka mingi iliyopita. Pona ya nchi hii ni ujinga na ukondoo wa wananchi wake uliovuka mipaka
sikichafue tuige kwako? au we mkenya?
 
Back
Top Bottom