Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 4,835
- 8,418
SASA mnaumia nini cdm kutoshirik😂😂 nyie shindeni mpata kura zote. Cdm ishasema hakuna uchaguzi kwq refa anayeteuliwa na timu mpinzani.Hamna uhalali wa kuzuia uchaguzi.Mkijaribu kuzuia uchaguzi ambao hamshiriki ni uhaini mwingine
-Polisi mwajiriwa wa ccm
-mwenyekiti wa NEC mteuliwa wa ccm
-wakurugenzi wateuliwa wa mwenyekiti wa ccm
-Walim waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm
-watendaji wa kata na vijiji waajiriwa wa mwenyekiti wa ccm😂😂 afu unamlazimisha watu washiriki uchafuzi wa demokrasia.
