KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

KWA HERI CDM LALA UNONO, UTAAMKA TENA 2030 CHINI YA MWAMBA!

Ni sawa, na tumekubali kiroho safi, kuliko kutugeuza urembo wa demokrasia wakati haipo. Tena hiyo 2030 ni karibu sana, fanya hado 2080.
BYEBYE, itawalipa sana mkiendela na uhanaharakati kuliko politcs
 
.. nikweli bora msiwe mazuzu till 2030, u will be very healthy politically, na sisi wananchi wa kawaida (non partisan) tutakuwa peaceful in u'r absence
2030 umesema ww, sisi tunataka hadi 3070, ili mkae kwa raha zaidi. Hapo vipi?
 
That is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437
CCM mna shida gani? Nyie ni binadamu, kesho yenu hamuijuhi harafu mnajisikia kana kwamba mambo yameisha
 
Nchimbi master mind wa mikakati migumu kuliko hata kipindi Cha JPM.
Mwaka huu ni zero chadema, Sasa chama gani hata uchaguzi hakishiriki!
Hakuna uchaguzi, we shupaa shingo tu. Katika nchi yenye watu 60 mil waliojiandikisha 45 mil mtakaopiga kura milioni 4. Huo utaita uchaguzi au kichekesho%?! Mana hata ccm wengi tu hawatapiga kura wote!
 
Back
Top Bottom