DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
Sasa mtakuwa watazamaji till 2030, mmejipa self burnNdio picha inayotakiwa, kuliko picha ya ukondoo. Chaguzi za kishenzi ni mwiko kushiriki.
Sasa mtakuwa watazamaji till 2030, mmejipa self burnNdio picha inayotakiwa, kuliko picha ya ukondoo. Chaguzi za kishenzi ni mwiko kushiriki.
😭😭Dunia hii si ya kuringia, baada ya miaka 50 ijayo sote humu jf hatutakuwepo, tutakuwa Tunapambania maisha yetu ya kabrini
Unabisha?
Uchaguzi utafanyika with exception ya wanaharakati wa CDM, only political parties wame qualifyHakuna uchaguzi hapo
wacheni ujinga chadema ilishakufa bila lissuLissu na genge lake lilaumiwe
Ata kma ,kama hutaki uchaguzi means una taka uhasiVyama ni 17 na ccm ni sehemu upangaji na ufaidika wa huo uhuni uitwao uchaguzi. Cdm ndio waathirika wa hizo chaguzi za kihuni na sio hivyo vyama ulivyovitaja kwa wingi wao. Ama unadhani ukitaja idadi hatuwezi kuujua ukweli?
Ni sawa, na tumekubali kiroho safi, kuliko kutugeuza urembo wa demokrasia wakati haipo. Tena hiyo 2030 ni karibu sana, fanya hado 2080.Sasa mtakuwa watazamaji till 2030, mmejipa self burn
Asa hapo Kuna uchaguzi Gani wakati mpaka Sasa rais ashajulikana, washajiteua huko, ni kupoteza tuu muda na gharama za kijinga hamna uchaguzi hapo hizo pesa wangeelekeza kwenye mambo mengine ya msingi tuuUchaguzi utafanyika with exception ya wanaharakati wa CDM, only political parties wame qualify
Madai yetu yapo wazi na yana ushahidi, hatuko tayari kushiriki chaguzi kiinimacho. Shirikini na hivyo vyama vyenye imani na huo uhuni uitwao uchaguzi.Ata kma ,kama hutaki uchaguzi means una taka uhasi
Hapa ndo unaona kichaka cha karanga kiko wapi sasa . The real devil in the houseJPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Duuuu!!! Chadema wamejizika wenyewe .naumia aiseeeHamna uhalali wa kuzuia uchaguzi.Mkijaribu kuzuia uchaguzi ambao hamshiriki ni uhaini mwingine
Tangu Tanzania ikubali mfumo wa vyama vingi CCM haijawahi kuwa na presha na siasa za Tanzania Bara. As long as Zanzibar ni shwari wapinzani bara hamuwezi kuinyima CCM usingizi. DO NOT FOOL YOURSELVES.Fanyeni uchaguzi pekee yenu wajinga wakubwa nyie
Nyie wazanzibar mnanini cha maana?Tangu Tanzania ikubali mfumo wa vyama vingi CCM haijawahi kuwa na presha na siasa za Tanzania Bara. As long as Zanzibar ni shwari wapinzani bara hamuwezi kuinyima CCM usingizi. DO NOT FOOL YOURSELVES.
Siku hiyo waelewa watatulia nyumbani au kuendelea na shughuli zao, idadi ya wapiga kura itakuwa kichekesho na ndio kufa kwa uchagizi wenyeww, hakuna uhaini wwte utafanyika ila aibu ccm itapata. Mana hata wanaccm hawatapiga kura wote.Hamna uhalali wa kuzuia uchaguzi.Mkijaribu kuzuia uchaguzi ambao hamshiriki ni uhaini mwingine
wataiba kura zao wenyewe safari hii waeape hao, mana hakuna wabunge wa covid19 safari hii😂😂😂Hebu tupe takwimu za hivyo vyama vingine katika chaguzi za nyuma!!. Yaan unataka kushindana na vyama ambavyo havipati hata kura moja ya Rais Nchi mzima!!. Bata kabisa..
muda utaongea, hiyo siku ya kupiga kura ndio mtajua hamjui, kwa sasa endeleeni kucheza na akili za wajingaKwa akili zako watanzania wako chadomo peke yako? ACT sio watanzania?
Mnajipa ukubwa ambao hamna. Vyama 18 vitashiriki chadomo ya braza K pekee haitaishiriki.muda utaongea, hiyo siku ya kupiga kura ndio mtajua hamjui, kwa sasa endeleeni kucheza na akili za wajinga
Nendeni tu ,tamaa .za madarakaMadai yetu yapo wazi na yana ushahidi, hatuko tayari kushiriki chaguzi kiinimacho. Shirikini na hivyo vyama vyenye imani na huo uhuni uitwao uchaguzi.