Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
R.I.P CHADEMA saa hz waseme waandamane watachakazwa hawa maana hatuwajui ni chama cha siasa au kakikundi ka wahuniThat is reality!, wasiokujua cdm wamekufuja, wanataka kukugeuza kama chanzo cha machafuko, hawaijui intelegencia ya uendeshaji wa chama hichi, ambayo haiendani na mihemko, chuki ghadhabu uasi, na machafu yote hatari kwa taifa letu. View attachment 3301437