Kwa hesabu za haraka, Stiegler's Gorge itaifanya Tanzania kuipiku Afrika Kusini kiuchumi ndani ya miaka 10

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's Gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South Africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
 
KWELI KABISA, SASA PRESIDAA ATAANZA NA HILI KWELI ?
Ameshawaeleza kwamba walipe hizo 700billion haraka kwakuwa anazihitaji kwa ajili ya kujengea Stiegler's gorge dam, nilifarijika mno kuona kwamba mradi huu ni kipaumbele. Leo hii akija kiongozi akaniambia nile nyasi ili ajenge hilo bwawa mimi nitakubali kula hata pumba tena kwa furaha kabisa ili mradi tu ajenge hilo bwawa maana ndio mkombozi wetu wa mwisho aliebaki, sioni kingine, hayo madini yataisha lakini hilo bwawa litabaki, Mungu atupe nini watz..
 
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.

Hivi gesi ya Mtwara bado hipo? Tulikua tuna mpango wa kuwauzia Kenya umeme wa gesi.
 
Si tuliambiwa kwamba ile gesi ya Mtwara mpaka ianze kuchimbwa inahitaji miaka 10 ya utengenezaji mitambo, japo serikali iliwaomba wajitahidi kukamilisha hata ndani ya miaka 5 au 7 ili tuanze kufaidika, tusubiri tu hiyo miaka 10 uzalishaji utakapoanza. Hii tunayoitumia sasa kuzalisha umeme kinyerezi ya Songas iligunduliwa miaka ya 1970 lakini imechukua zaidi ya miaka 30 kuanza kutumika, so hii ya Mtwara tusubiri tu, tumeambiwa miaka 10 itakuwa tayari kwa walaji
 
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Ni mradi wa MW 2100 na si 6000. Unajua total installed Capacity ya wasauzi kwenye MW? tuko nyuma yao miaka mia.
 
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.

Shida yangu ni hizo hesabu za haraka haraka...

We need a serious due diligence na mengineyo

We are poor bacause of haraka haraka
 
Hivi yale madini ya uranium yanachimbwa wapi.....?
Rais ameshasema kuwa, hii kamati iende kwa madini ya kila aina na kufanya majadiliano, hakuna madini yatakayo achwa, wamemalizana na Acacia, wakitoka hapo wanaenda kwenye Tanzanite, Almasi, na hata Uranium haitabaki salama, itafika mahali na Uranium itatup utajiri unaostahili, tofauti na sasa ambapo Uranium inayozalisha umeme wa matrillion ya madollar haichangii chochote kwenye mfuko wa mtz.
 
Ameshawaeleza kwamba walipe hizo 700billion haraka kwakuwa anazihitaji kwa ajili ya kujengea Stiegler's gorge dam, nilifarijika mno kuona kwamba mradi huu ni kipaumbele. Leo hii akija kiongozi akaniambia nile nyasi ili ajenge hilo bwawa mimi nitakubali kula hata pumba tena kwa furaha kabisa ili mradi tu ajenge hilo bwawa maana ndio mkombozi wetu wa mwisho aliebaki, sioni kingine, hayo madini yataisha lakini hilo bwawa litabaki, Mungu atupe nini watz..
Ule mradi wa gesi si mlituaminisha hivyo hivyo??
 
Mradi wa gesi unahitaji miaka 10 ili uzalishaji uanze, hii gesi yenyewe ya Songas iligunduliwa miaka ya 1970, baada ya 40yrs ndio tunazalisha umeme. Kwahiyo gas haijaanza kuzalishwa,mitambo ya kuchimba gas ndio inajengwa bado
 
Naunga mkono. Hoja hii. Hayati Baba wa Taifa aliona mbali sana kuhusu huu mradi na hatimae alievaa viatu vyake amethubutu. Stieglers Gorge. Itatuweka. Katia ramani. Ya uchumi. Duniani. Uthubutu. Ni kuweka misingi imara ya uchumi wetu. SRG na SG ni mifano hai. Tutapaa. Hakika JPM ni JKN wa II. Hongera Rais wetu mpendwa.
 
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Ni 6000MW au 2100MW?
 
Back
Top Bottom