FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's Gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South Africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.