Ruby Morogoro
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 161
- 83
Gasi ya mtwara tayari imechimbwa na ipo ktk matumizi mkuu! Kinachotusumbua ni kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja, gasi ina zaidi ya miaka 2 tangu ifike Dar, unatumia kuzalisha umeme na Tanesco huko Kinyerezi, ubungo, na Tegeta. Bado matumizi ya gasi hii ya Mtwara ni kidogo sana.Si tuliambiwa kwamba ile gesi ya Mtwara mpaka ianze kuchimbwa inahitaji miaka 10 ya utengenezaji mitambo, japo serikali iliwaomba wajitahidi kukamilisha hata ndani ya miaka 5 au 7 ili tuanze kufaidika, tusubiri tu hiyo miaka 10 uzalishaji utakapoanza. Hii tunayoitumia sasa kuzalisha umeme kinyerezi ya Songas iligunduliwa miaka ya 1970 lakini imechukua zaidi ya miaka 30 kuanza kutumika, so hii ya Mtwara tusubiri tu, tumeambiwa miaka 10 itakuwa tayari kwa walaji