bakia hapo hapo na mawazo yako mgando.china alikuwa wapi leo anatetemesha dunia nzimaTunaweza kuipiku south afriaca ki uchumi ya kweli hayo? Mtu anazitengeneza gar sisi hata sindano bado mkuu bado sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bakia hapo hapo na mawazo yako mgando.china alikuwa wapi leo anatetemesha dunia nzimaTunaweza kuipiku south afriaca ki uchumi ya kweli hayo? Mtu anazitengeneza gar sisi hata sindano bado mkuu bado sana
bakia hapo hapo na mawazo yako mgando.china alikuwa wapi leo anatetemesha dunia nzima
Mkuju River located in the Namtumbo District of the Ruvuma Region, South Tanzania, about 470 km southwest of Dar es Salaam-namtumbo-district,Hivi yale madini ya uranium yanachimbwa wapi.....?
Wanaanza na 2100MW, ila lile bwawa, fully harnessed to its maximum potential, linaweza kutupatia hadi 6000MWNi 6000MW au 2100MW?
uranium tanzania haichimbiki kutokana na kuwa karibu na source za maji za kitaifaHivi yale madini ya uranium yanachimbwa wapi.....?
Hizi story tulipeana hata kwenye Gesi ya MtwaraKwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Unajua south wananunua umeme Mozambique? Dalili ya upungufu.Ni mradi wa MW 2100 na si 6000. Unajua total installed Capacity ya wasauzi kwenye MW? tuko nyuma yao miaka mia.
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Kilichotuchelewesha ni vikwazo vya kuharibu mazingira, mazingira gani wakati Ruaha ni yetu?! Hivi visingizio havikubaliki, vimetuchelewesha sana..Kwa AK nafikiri umekwenda mbali sana labda usema nchi nyingine za Afrika lkn AK wana Western european economic standard kwanza wanazizidi nchi nyingi tu za EU, unajua AK wanazalisha MW 45 000 za Umeme na bado hazitoshi? AK wako mbali sana kuweza hata kujaribu kutulinganisha nao!
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Kilichotuchelewesha ni vikwazo vya kuharibu mazingira, mazingira gani wakati Ruaha ni yetu?! Hivi visingizio havikubaliki, vimetuchelewesha sana..
Kunamajitu mnatia hasira mpaka unatamani kupasuka, yaani.unatamani kama jitu linakuwa karibu yako unalicharanga panga na nyama unachemsha unawapa mbwa. yaan mmesahau kabisa propaganda ya enzi zile ya gesi ya MTWARA kuhusu umeme wa gesi. Haya tueleze gesi mliyotuambia tutauza umeme kimeshindikana nini. Tukiwaambia nyie ni mashoga mtabisha??? Maana mapunga sifa ya kwanza ni usahaulifu na akili kuhamia nyuma.Ameshawaeleza kwamba walipe hizo 700billion haraka kwakuwa anazihitaji kwa ajili ya kujengea Stiegler's gorge dam, nilifarijika mno kuona kwamba mradi huu ni kipaumbele. Leo hii akija kiongozi akaniambia nile nyasi ili ajenge hilo bwawa mimi nitakubali kula hata pumba tena kwa furaha kabisa ili mradi tu ajenge hilo bwawa maana ndio mkombozi wetu wa mwisho aliebaki, sioni kingine, hayo madini yataisha lakini hilo bwawa litabaki, Mungu atupe nini watz..
Unajua uwezo wa kuzalisha umeme wa South Africa? Wenzio wana 50GW wewe hata 2GW hujafikisha. Wenzio wana access rate ya 84%, wewe una 30%. Wenzio sasa wanafikiria umeme wa nuke wewe hata potential ya umeme wa maji bado hajafikisha hata nusu.Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Hata mimi sijui huyu ndugu hizi figure za MW 6000 amezitoa wapi.Ni mradi wa MW 2100 na si 6000. Unajua total installed Capacity ya wasauzi kwenye MW? tuko nyuma yao miaka mia.