Kwa hesabu za haraka, Stiegler's Gorge itaifanya Tanzania kuipiku Afrika Kusini kiuchumi ndani ya miaka 10

Kwa hesabu za haraka, Stiegler's Gorge itaifanya Tanzania kuipiku Afrika Kusini kiuchumi ndani ya miaka 10

Mkuu Stiegler's Gorge Itazalisha 2100MW na Kwa Sasa Tanzania Tunazalisha 1000MW in Total 3100MW Unauzaje Umeme Hapo?
Wakati Nchi Rafiki Kama Ethiopia wanazalisha 11000MW.
Huu Umeme 3100MW Bado Hata Vi-wonder Vyetu Hautatosha Kuendeshea
 
Hivi yale madini ya uranium yanachimbwa wapi.....?
Mkuju River located in the Namtumbo District of the Ruvuma Region, South Tanzania, about 470 km southwest of Dar es Salaam-namtumbo-district,
Ni umeme wa gharama nafuu sana ,viwanda kuzalisha bidhaa kwa gharama ndogo hivyo kufanya bidhaa kuuzwa bei ndogo.
Tukitaka kuzalisha umeme wa nuclear tujiandae kukabiliana na vikwazo vya UN kama hawataturuhusu wakubwa wa dunia.
 
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Hizi story tulipeana hata kwenye Gesi ya Mtwara
 
Humu ndani kuna wajuzi wa mambo ya umeme na miradi mikubwa watoe elimu hapa bila kupendelea kama huu mradi unafaida na tofauti yake na ule wa gas
 
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.

Kwa AK nafikiri umekwenda mbali sana labda useme nchi nyingine za Afrika lkn AK wana Western european economic standard kwanza wanazizidi nchi nyingi tu za EU, unajua AK wanazalisha MW 45 000 za Umeme na bado hazitoshi? AK wako mbali sana kuweza hata kujaribu kutulinganisha nao!
 
Kwa AK nafikiri umekwenda mbali sana labda usema nchi nyingine za Afrika lkn AK wana Western european economic standard kwanza wanazizidi nchi nyingi tu za EU, unajua AK wanazalisha MW 45 000 za Umeme na bado hazitoshi? AK wako mbali sana kuweza hata kujaribu kutulinganisha nao!
Kilichotuchelewesha ni vikwazo vya kuharibu mazingira, mazingira gani wakati Ruaha ni yetu?! Hivi visingizio havikubaliki, vimetuchelewesha sana..
 
ni Habari njem
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.

ni Habari njema, lakini kwanini unaitaja SA? nadhani wao sasa wanatumia nishati Ya nuclear.

Lakini hatujaondoa vikwazo vya utekelezaji mradi : Fedha, vipingamizi vya kimazingira et cetera
 
Nikukosoe,hakuna uranium inayochimbwa,ukitaka uchimbe mpaka uwe na kibali,kutoka tume ya mionzi duniani,na uwe tayari na wanasayansi wa kufanya kazi hiyo,na mataifa makubwa USA, wakuamini kama utamuuzia nani
 
Ameshawaeleza kwamba walipe hizo 700billion haraka kwakuwa anazihitaji kwa ajili ya kujengea Stiegler's gorge dam, nilifarijika mno kuona kwamba mradi huu ni kipaumbele. Leo hii akija kiongozi akaniambia nile nyasi ili ajenge hilo bwawa mimi nitakubali kula hata pumba tena kwa furaha kabisa ili mradi tu ajenge hilo bwawa maana ndio mkombozi wetu wa mwisho aliebaki, sioni kingine, hayo madini yataisha lakini hilo bwawa litabaki, Mungu atupe nini watz..
Kunamajitu mnatia hasira mpaka unatamani kupasuka, yaani.unatamani kama jitu linakuwa karibu yako unalicharanga panga na nyama unachemsha unawapa mbwa. yaan mmesahau kabisa propaganda ya enzi zile ya gesi ya MTWARA kuhusu umeme wa gesi. Haya tueleze gesi mliyotuambia tutauza umeme kimeshindikana nini. Tukiwaambia nyie ni mashoga mtabisha??? Maana mapunga sifa ya kwanza ni usahaulifu na akili kuhamia nyuma.
 
Any way ngoja nile BAN kiroho safi...maana kuna mijitu mnakera
 
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Unajua uwezo wa kuzalisha umeme wa South Africa? Wenzio wana 50GW wewe hata 2GW hujafikisha. Wenzio wana access rate ya 84%, wewe una 30%. Wenzio sasa wanafikiria umeme wa nuke wewe hata potential ya umeme wa maji bado hajafikisha hata nusu.

Acheni kuwajaza upepo wananchi kama kwenye Noah za makinikia wakati hata financier wa stiegler's bado hajapatikana.
 
Ni mradi wa MW 2100 na si 6000. Unajua total installed Capacity ya wasauzi kwenye MW? tuko nyuma yao miaka mia.
Hata mimi sijui huyu ndugu hizi figure za MW 6000 amezitoa wapi.

Huo mradi ukikamilika kwa asilimia zote utazalisha Megawattszisizozidi 2100.
 
Back
Top Bottom