FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ameshawaeleza kwamba walipe hizo 700billion haraka kwakuwa anazihitaji kwa ajili ya kujengea Stiegler's gorge dam, nilifarijika mno kuona kwamba mradi huu ni kipaumbele. Leo hii akija kiongozi akaniambia nile nyasi ili ajenge hilo bwawa mimi nitakubali kula hata pumba tena kwa furaha kabisa ili mradi tu ajenge hilo bwawa maana ndio mkombozi wetu wa mwisho aliebaki, sioni kingine, hayo madini yataisha lakini hilo bwawa litabaki, Mungu atupe nini watz..KWELI KABISA, SASA PRESIDAA ATAANZA NA HILI KWELI ?
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Si tuliambiwa kwamba ile gesi ya Mtwara mpaka ianze kuchimbwa inahitaji miaka 10 ya utengenezaji mitambo, japo serikali iliwaomba wajitahidi kukamilisha hata ndani ya miaka 5 au 7 ili tuanze kufaidika, tusubiri tu hiyo miaka 10 uzalishaji utakapoanza. Hii tunayoitumia sasa kuzalisha umeme kinyerezi ya Songas iligunduliwa miaka ya 1970 lakini imechukua zaidi ya miaka 30 kuanza kutumika, so hii ya Mtwara tusubiri tu, tumeambiwa miaka 10 itakuwa tayari kwa walajiHivi gesi ya Mtwara bado hipo? Tulikua tuna mpango wa kuwauzia Kenya umeme wa gesi.
Ni mradi wa MW 2100 na si 6000. Unajua total installed Capacity ya wasauzi kwenye MW? tuko nyuma yao miaka mia.Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Rais ameshasema kuwa, hii kamati iende kwa madini ya kila aina na kufanya majadiliano, hakuna madini yatakayo achwa, wamemalizana na Acacia, wakitoka hapo wanaenda kwenye Tanzanite, Almasi, na hata Uranium haitabaki salama, itafika mahali na Uranium itatup utajiri unaostahili, tofauti na sasa ambapo Uranium inayozalisha umeme wa matrillion ya madollar haichangii chochote kwenye mfuko wa mtz.Hivi yale madini ya uranium yanachimbwa wapi.....?
Tena wafanye haraka, kuna bwawa linasubiri hizo pesa, wafanye haraka!TUNAKA WATULIPE HIZO HELA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI TUZIFANYIE KAZI..
Mkuju river! kuna Uzi niliuweka na verified acc yng..ila siweki link ntastukiwa!Hivi yale madini ya uranium yanachimbwa wapi.....?
Ule mradi wa gesi si mlituaminisha hivyo hivyo??Ameshawaeleza kwamba walipe hizo 700billion haraka kwakuwa anazihitaji kwa ajili ya kujengea Stiegler's gorge dam, nilifarijika mno kuona kwamba mradi huu ni kipaumbele. Leo hii akija kiongozi akaniambia nile nyasi ili ajenge hilo bwawa mimi nitakubali kula hata pumba tena kwa furaha kabisa ili mradi tu ajenge hilo bwawa maana ndio mkombozi wetu wa mwisho aliebaki, sioni kingine, hayo madini yataisha lakini hilo bwawa litabaki, Mungu atupe nini watz..
Mradi wa gesi unahitaji miaka 10 ili uzalishaji uanze, hii gesi yenyewe ya Songas iligunduliwa miaka ya 1970, baada ya 40yrs ndio tunazalisha umeme. Kwahiyo gas haijaanza kuzalishwa,mitambo ya kuchimba gas ndio inajengwa badoUle mradi wa gesi si mlituaminisha hivyo hivyo??
Mkuu tunaweza, ni uthubutu tu. Na kwa hali inayoendelea sasa ya. Kuweka misingi. Imara ya ujenzi wa Taifa, tutafika.Tunaweza kuipiku south afriaca ki uchumi ya kweli hayo? Mtu anazitengeneza gar sisi hata sindano bado mkuu bado sana
Mkuu tunaweza, ni uthubutu tu. Na kwa hali inayoendelea sasa ya. Kuweka misingi. Imara ya ujenzi wa Taifa, tutafika.
Ni 6000MW au 2100MW?Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.