NI SHIDA NDUGU LABDA KWA SERIKALI HII KWANZA GESI INA MADALI KIBAO SIO MKOMBOZI TENA TUNA GESI LAKINI MPAKA SASA HATUJAFIKA HATA 500MW TATIZO HAPA TANZANIA HAKUNA PRIOLITY YA NCHI,Humu ndani kuna wajuzi wa mambo ya umeme na miradi mikubwa watoe elimu hapa bila kupendelea kama huu mradi unafaida na tofauti yake na ule wa gas
Nissan nyeupe na marisasiMkuju river! kuna Uzi niliuweka na verified acc yng..ila siweki link ntastukiwa!
Mh!! Anyway Ngoja Niandae Meno Yng Vizuri Tayari Kwa Kuitafuna Hiyo Gesi Itakapokuwa Tayari Kwa Walaji!! Kwani Bado Miaka Mingapi Wajamen? Nina Njaa Kwelikweli!!Si tuliambiwa kwamba ile gesi ya Mtwara mpaka ianze kuchimbwa inahitaji miaka 10 ya utengenezaji mitambo, japo serikali iliwaomba wajitahidi kukamilisha hata ndani ya miaka 5 au 7 ili tuanze kufaidika, tusubiri tu hiyo miaka 10 uzalishaji utakapoanza. Hii tunayoitumia sasa kuzalisha umeme kinyerezi ya Songas iligunduliwa miaka ya 1970 lakini imechukua zaidi ya miaka 30 kuanza kutumika, so hii ya Mtwara tusubiri tu, tumeambiwa miaka 10 itakuwa tayari kwa walaji
Baki na mawazo yako hasi,unajuaje kama hakuna kiwanda cha sindano kwa matatizo haya ya umeme,lakini umeme ukiwa mwingi,watu watavutika kuanzisha viwanda kwa wingi?Sisi kwa mifano tupo vizur mno Mungu katujaalia wewe huna mawazo mgando safi sana cha ajabu hata kiwanda cha sindano huna kipo hukohuko china halafu unajiona una fikra endelevu
Linapokuja swala la maendeleo ya Tanzania huwa napenda sana kuona watu wenye mtazamo chanya.Wanaanza na 2100MW, ila lile bwawa, fully harnessed to its maximum potential, linaweza kutupatia hadi 6000MW
Umeme Wa gesi ni ghali kuliko Wa maji,gesi ni nzuri kupikia,kwenye magari,mbolea nkHivi gesi ya Mtwara bado hipo? Tulikua tuna mpango wa kuwauzia Kenya umeme wa gesi.
Kama tukithubutu kuifanya hiyo project ikakamilika, Tanzania itakuwa tofauti sanaKwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Tumempata Lee Kuan Yew wetu nini?Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Hakuna madini ya uranium yanayochimbwa kwa sasa Tanzania. Kifupi hivyo uranium bado ipo ardhini.Hivi yale madini ya uranium yanachimbwa wapi.....?
Maelezo yako ni mazuri lakini labda tu niongezee kidogo. Ni kwamba uwekezaji kwenye uranium bado unasusua, hivyo bado hakuna uzalishaji wowote uliokwisha kuanza kama ambayo ilivyo kwenye mtwara offshore gas reservoir na liganga iron deposit.Rais ameshasema kuwa, hii kamati iende kwa madini ya kila aina na kufanya majadiliano, hakuna madini yatakayo achwa, wamemalizana na Acacia, wakitoka hapo wanaenda kwenye Tanzanite, Almasi, na hata Uranium haitabaki salama, itafika mahali na Uranium itatup utajiri unaostahili, tofauti na sasa ambapo Uranium inayozalisha umeme wa matrillion ya madollar haichangii chochote kwenye mfuko wa mtz.
RSA wana kinu cha kufua umeme kinacotumia nguvu za nuklia pamoja na cabora basa wanayoshirikiana na msumbijiNi mradi wa MW 2100 na si 6000. Unajua total installed Capacity ya wasauzi kwenye MW? tuko nyuma yao miaka mia.
Ndugu kwanza punguza hasira, unachopaswa kufahamu ni kwamba gas inayotumika kuzalisha umeme kinyerezi kwa sasa inatoka msimbati mtwara ambayo ni onshore gas reservoir. Hii iligunduliwa tangu 1970s.Any way ngoja nile BAN kiroho safi...maana kuna mijitu mnakera
Mzigo Gani Mkuu? Mbona Mzigo Hakuna Hapo? Pray 4 Lisu.Hivi huu mzigo utatolewa mara moja au kwa instalment?
Gesi ya Songo songo inayotumika kuzalisha umeme kinyerezi iligunduliwa miaka ya 1970, imechukua zaidi ya miaka 40 ndio tumeanza kuzalishia umeme. Hiyo ya Mtwara ambayo ipo kwa wingi sana, tumeambiwa itachukua miaka 10 mpaka uzalishaji uanze, kwani miaka 10 imeshatimia tangu igunduliwe, sasa msahaulifu ni mimi au wewe? Huo uxenge mwingine kamwambie babaakoKunamajitu mnatia hasira mpaka unatamani kupasuka, yaani.unatamani kama jitu linakuwa karibu yako unalicharanga panga na nyama unachemsha unawapa mbwa. yaan mmesahau kabisa propaganda ya enzi zile ya gesi ya MTWARA kuhusu umeme wa gesi. Haya tueleze gesi mliyotuambia tutauza umeme kimeshindikana nini. Tukiwaambia nyie ni mashoga mtabisha??? Maana mapunga sifa ya kwanza ni usahaulifu na akili kuhamia nyuma.