Kwa hesabu za haraka, Stiegler's Gorge itaifanya Tanzania kuipiku Afrika Kusini kiuchumi ndani ya miaka 10

Kwa hesabu za haraka, Stiegler's Gorge itaifanya Tanzania kuipiku Afrika Kusini kiuchumi ndani ya miaka 10

Humu ndani kuna wajuzi wa mambo ya umeme na miradi mikubwa watoe elimu hapa bila kupendelea kama huu mradi unafaida na tofauti yake na ule wa gas
NI SHIDA NDUGU LABDA KWA SERIKALI HII KWANZA GESI INA MADALI KIBAO SIO MKOMBOZI TENA TUNA GESI LAKINI MPAKA SASA HATUJAFIKA HATA 500MW TATIZO HAPA TANZANIA HAKUNA PRIOLITY YA NCHI,
AKIJA HUYU ANAFANYA HIVI,AKIJA YULE ANAFANYA VILE,WENZENTU WAZUNGU KUNA VIPAUMBELE VYA NCHI SIO VYA CHAMA, AJE NANI ANAKUTA NAMBA 1._________
2._______
3._______
4._______
 
Mbona mnapenda sana stories za vijiweni? Huo mda wa kuandika thread si unge google kuhusu mw production ya south, hiyo production mnayotaka kufanya ni ya mw 2100, na tz currently around 2000 so plus hiyo 2100 jumla utakuwa na 4100mw. sasa unajua south wana produce mw ngapi? Wana 34,000mw na wanazidi kuongeza! Imekuwa jukwaa la siyo great thinkers tena, eti uishike south africa kiuchumi! Have you ever been or researched about south africa.?
 
Si tuliambiwa kwamba ile gesi ya Mtwara mpaka ianze kuchimbwa inahitaji miaka 10 ya utengenezaji mitambo, japo serikali iliwaomba wajitahidi kukamilisha hata ndani ya miaka 5 au 7 ili tuanze kufaidika, tusubiri tu hiyo miaka 10 uzalishaji utakapoanza. Hii tunayoitumia sasa kuzalisha umeme kinyerezi ya Songas iligunduliwa miaka ya 1970 lakini imechukua zaidi ya miaka 30 kuanza kutumika, so hii ya Mtwara tusubiri tu, tumeambiwa miaka 10 itakuwa tayari kwa walaji
Mh!! Anyway Ngoja Niandae Meno Yng Vizuri Tayari Kwa Kuitafuna Hiyo Gesi Itakapokuwa Tayari Kwa Walaji!! Kwani Bado Miaka Mingapi Wajamen? Nina Njaa Kwelikweli!!
 
Sisi kwa mifano tupo vizur mno Mungu katujaalia wewe huna mawazo mgando safi sana cha ajabu hata kiwanda cha sindano huna kipo hukohuko china halafu unajiona una fikra endelevu
Baki na mawazo yako hasi,unajuaje kama hakuna kiwanda cha sindano kwa matatizo haya ya umeme,lakini umeme ukiwa mwingi,watu watavutika kuanzisha viwanda kwa wingi?
 
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Kama tukithubutu kuifanya hiyo project ikakamilika, Tanzania itakuwa tofauti sana
 
Kwa kuwa nishati ndio nyenzo kuu kabisa ya maendeleo ya kiuchumi ya Taifa lolote lile, nimepiga hesabu za haraka na kubaini kuwa endapo bwawa la Stiegler's gorge litakamilika kwa full capacity ya uzalishaji wa MW 6000, na tukaweza kuuza nishati hii nafuu kwa nchi jirani za Africa, basi ni dhahiri kwamba Tanzania itakuwa ikitoa misaada ya kibinadamu kwa nchi mbali mbali ikiwemo hata South africa. Hizo bilioni 700 tusizifanyie makosa kabisa.
Tumempata Lee Kuan Yew wetu nini?
 
hizo bil700 zishayeyuka mkuu. Hakuna wa kumlaumu zaidi ya waliosaini mikataba mibovu, na hatujui ni wa chama gani!
 
Rais ameshasema kuwa, hii kamati iende kwa madini ya kila aina na kufanya majadiliano, hakuna madini yatakayo achwa, wamemalizana na Acacia, wakitoka hapo wanaenda kwenye Tanzanite, Almasi, na hata Uranium haitabaki salama, itafika mahali na Uranium itatup utajiri unaostahili, tofauti na sasa ambapo Uranium inayozalisha umeme wa matrillion ya madollar haichangii chochote kwenye mfuko wa mtz.
Maelezo yako ni mazuri lakini labda tu niongezee kidogo. Ni kwamba uwekezaji kwenye uranium bado unasusua, hivyo bado hakuna uzalishaji wowote uliokwisha kuanza kama ambayo ilivyo kwenye mtwara offshore gas reservoir na liganga iron deposit.
 
Any way ngoja nile BAN kiroho safi...maana kuna mijitu mnakera
Ndugu kwanza punguza hasira, unachopaswa kufahamu ni kwamba gas inayotumika kuzalisha umeme kinyerezi kwa sasa inatoka msimbati mtwara ambayo ni onshore gas reservoir. Hii iligunduliwa tangu 1970s.

Mradi mkubwa ambao wanasiasa waliutumia vibaya ama kwa kujua au kutojua na kuwaaminisha watanzanzia kwamba utakuwa mkombozi wao ni wa gas iliyogunduliwa miaka ya hivi karibuni(2010) ndani kabisa ya bahari(offshore).

Ni gharama kubwa sana zinahitajika kuwekeza ili kuanza uzalishaji(zaidi ya usd 15b). Hivyo bado sana sana sana kuanza kufaidi mazuri ya gas ya mtwara.
 
Kunamajitu mnatia hasira mpaka unatamani kupasuka, yaani.unatamani kama jitu linakuwa karibu yako unalicharanga panga na nyama unachemsha unawapa mbwa. yaan mmesahau kabisa propaganda ya enzi zile ya gesi ya MTWARA kuhusu umeme wa gesi. Haya tueleze gesi mliyotuambia tutauza umeme kimeshindikana nini. Tukiwaambia nyie ni mashoga mtabisha??? Maana mapunga sifa ya kwanza ni usahaulifu na akili kuhamia nyuma.
Gesi ya Songo songo inayotumika kuzalisha umeme kinyerezi iligunduliwa miaka ya 1970, imechukua zaidi ya miaka 40 ndio tumeanza kuzalishia umeme. Hiyo ya Mtwara ambayo ipo kwa wingi sana, tumeambiwa itachukua miaka 10 mpaka uzalishaji uanze, kwani miaka 10 imeshatimia tangu igunduliwe, sasa msahaulifu ni mimi au wewe? Huo uxenge mwingine kamwambie babaako
 
Back
Top Bottom