Kwa hesabu za makadirio hata kama Mandonga kalipwa milioni 5 kwa pambano lake la ufunguzi bado kapunjwa mno, atafutiwe Meneja upesi

Hizi milioni tano zinahitaji manager ASAP ili apangiwe nini afanye...hahahaa
 
Huyo anatakiwa ampate mtu kama Sallam Sk ndo atapata hela , vinginevyo watamnyonya tuuu ,
 
Wewe unavyopigwa kila siku na mke wako huwa unalipwa sh ngapi? πŸ˜€πŸ˜€
 
Hizi milioni tano zinahitaji manager ASAP ili apangiwe nini afanye...hahahaa
Wanamtumia tu Mandonga wetu, anabondwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pesa nyingi wanakula wajanja wa town.
Tummanage tu πŸ˜‰
 
Hizo hesabu umezipata wapi za mgao na makadirio
 
Mandonga anastahili malipo mara mbili alipwe kama promota na alipwe pia kama Bondia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…