Kwa hesabu za makadirio hata kama Mandonga kalipwa milioni 5 kwa pambano lake la ufunguzi bado kapunjwa mno, atafutiwe Meneja upesi

Tumuwahi mapema, humu hakuna mtu ana connection na Mandonga kweli? Atusaidie tumuwahi kumsindikiza kwenye utajiri.
Haiwezekani kwenye mamilioni ya hela, wampe 5m tu Mandonga wetu.
Manyakunyaku wakae pembeni kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi milioni tano zinahitaji manager ASAP ili apangiwe nini afanye...hahahaa
 
Huyo anatakiwa ampate mtu kama Sallam Sk ndo atapata hela , vinginevyo watamnyonya tuuu ,
 
View attachment 2484117

Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/

Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi.

Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru, Kisumu, n.k iliwabidi wanunue tiketi za kuchekia pambano online.

Mgao wa mabondia wengine ukiwachanganya wote huenda hata haukufikia milioni 10 maana mchezo huu nchini Kenya hauna Mashabiki wengi

Ukiachana na Mandomga, Wapiganaji wengine watakuwa wamekula laki 3 hadi 8 na wenye afadhali wamelamba milioni 1.5 hasa wa pambano kuu ... Mchezo wa ngumi kwa Kenya bado ni mchanga mashabiki wachache hivyo malipo ni kiduchu

Kama Mandonga kalipwa milioni 5 kiukweli anasindikiza kitu anachopigania kifaidiwe na wengine, ni heri atafutiwe meneja
Wewe unavyopigwa kila siku na mke wako huwa unalipwa sh ngapi? 😀😀
 
Hizi milioni tano zinahitaji manager ASAP ili apangiwe nini afanye...hahahaa
Wanamtumia tu Mandonga wetu, anabondwa 😂😂😂😂😂😂 pesa nyingi wanakula wajanja wa town.
Tummanage tu 😉
 
View attachment 2484117

Kumbuka pambano la Mandonga halikuwa pambano kuu, lilikuwa ni pambano la ufunguzi tu hivyo pesa aliyopewa inaweza isifikie hata iliyotajwa/

Pambano lilijaza nyomi ya wakenya zaidi ya elfu 6 waliojaza ukumbi wa KICC jijini Nairobi.

Kwa wale ambao hawakuweza kufika hasa wa Mombasa, Nakuru, Kisumu, n.k iliwabidi wanunue tiketi za kuchekia pambano online.

Mgao wa mabondia wengine ukiwachanganya wote huenda hata haukufikia milioni 10 maana mchezo huu nchini Kenya hauna Mashabiki wengi

Ukiachana na Mandomga, Wapiganaji wengine watakuwa wamekula laki 3 hadi 8 na wenye afadhali wamelamba milioni 1.5 hasa wa pambano kuu ... Mchezo wa ngumi kwa Kenya bado ni mchanga mashabiki wachache hivyo malipo ni kiduchu

Kama Mandonga kalipwa milioni 5 kiukweli anasindikiza kitu anachopigania kifaidiwe na wengine, ni heri atafutiwe meneja
Hizo hesabu umezipata wapi za mgao na makadirio
 
Mandonga anastahili malipo mara mbili alipwe kama promota na alipwe pia kama Bondia
 
Back
Top Bottom