Kwa heshima na taadhima, nawaomba CCM 2025 mtuletee Mgombea bora mwenye uchungu na nchi hii

Watu wapo kwenye msamiati wa KOFIA MBILI wewe unawaletea zako za kuleta
 
Mkuu ngebe , kwanza naheshimu mawazo yako, pili naheshimu haki yako na uhuru wako kutoa maoni yako under the freedom of expression provided kwenye katiba yetu.

Sisi Watanzania wazalendo tumeisha amua 2025, tunakwenda na Mwanamke!.

Urais hupangwa na Mungu, hivyo kwa vile JPM aliletwa na Mungu, na akatwaliwa na Mungu, kisha Mungu huyo huyo akatupatia Samia, na sisi tukamuunga mkono Mungu kwa kumuomba 2025 atupatie mgombea mwanamke, nakushauri na ku kukuandaa 2025 kuchagua mgombea mwanamke

P
 
Mimi maoni yangu namba moja tumuepuke mtu yeyote aliyemkejeri magufuli sirini na anayemkejeli magufuli waziwazi. Namba mbili tumuepuke mtu yeyote anayewapa madaraka vigogo waliyotemwa na magufuli kwa ufisadi na uzembe.
Namba tatu tuhakikishe tunapata magufuli mpya kuongoza nchi yetu.
 
Huyu Bibi nimemtetea sana ila dizaini naona mipasho mingi kuliko utendaji kazi..
Ikifika nukuu za Rais, nazima redio.
Mipasho,mwanangu aweso,mwanangu ridhiwani,mwanangu acksoni,hotuba shaghalabagala.
 
Kuna genge la wahuni hufurahia hali ya nchi ilivyo. Tanzania arise, arise, arise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…