LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Motsepe ametia aibu soka la Afrika.
Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.
Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"
Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.
Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele (Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka)
But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka.
Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali.