Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

Motsepe ni muhuni
Amefanya hujuma chafu sana
 
Upangaji wa matokeo ni tuhuma nzito sana. Je yanga ana uthibitisho? Japokuwa ushaidi wa kimazingira inawezekana kukawa na upangaji matokeo lakini kama hakuna uthibitisho yale yanabaki kutambulika kama makosa ya kibinadamu ya refa
Hakuna makosa ya kibinadamu ili Hali Kuna vitendea kazi ambavyo alipaswa kwendakujiridhisha zaidi ya Mara mbili.
 
We una utani eti?

Kwanza huo ulikuwa ni utabiri kuwa fainali ni Ahly na Mamelodi

Hiyo kaisema injinia mwenyewe
 
Motsepe ametia aibu soka la Africa.

Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.

Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema " it was a clear goal"

Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema it was a clear goal. Yanga wapewe haki yao.

Mimi nasema kwa kuwa kwa mujibu wa sheria za mpira hata Yanga wakikata rufaa hawawezi kusonga mbele ( Still kama tuna lobbyist wazuri uwezekano wa Yanga kusonga mbele kwa kutumia sheria hizo hizo za fifa ni 100%. Hizo sheria zinaweza kuwa manipulated na Yanga wakapewa haki yao vizuri sana na ikatengenezwa precedent mpya kwenye sheria za soka )

But option ya pili ambayo inaweza kuwa Rais ni kwa Mamelody wenyewe na Motsepe waamue kujitoa kwenye hatua hiyo ya nusu fainali. Suala kupelekwe kisiasa ili mradi Yanga wapate haki yao. Mamelody watazame kwenye sheria za Fifa ni sababu ipi inaweza kupelekea club kuruhusiwa kujitoa kuendelea na mashindano ya hatua iliyo fikia Mamelody. Mamelody waombe Caf kujitoa kwenye mashindano na badala yake nafasi yake wapewe Yanga ambao ndio wana stahili. Kinyume cha hapo Motsepe hawezi kuheshimika tena kwenye ulimwengu wa soka. .


Mamelody wajitoe Yanga waingie nusu fainali...
Bado hujasema...
 

Attachments

  • Screenshot_20240406-071538.png
    Screenshot_20240406-071538.png
    190 KB · Views: 2
Wewe unaongea kishabiki,kiroho mbaya ila hukuzingatia misingi ya soka tena bila shaka we mpira hujui yani huoni kabisa kama si goli lile?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwa? Una stress? Vipi chai umekunywa?
Poleeeee sana.
 
Uto mnadanganywa na wachambuzi wenu wa mchongo camera iliyo ona mpira hauja ingia ni ile ya juu na ndiyo iliyo amua kwamba sio goli.
Watuwekee basi hata kwenye tovuti za CaF nasisi tujiridhishe na lawama siondoke kwao
 
Maumivu wanayopitia yanga yasikieni tu🤣🤣🤣🤣na sio yakupate
 
Basi tumalize ubishi tuseme lile ni goli. Breaking news. Haya Yanga haoooooo wanaenda kwenye nusu kaputi.😀😀
 
Yanga wanaweza ku report Fifa kuhusu upangaji wa matokeo na ikithibitika basi Mamelody watafungiwa na kuondolewa na Yanga kuendelea na hatua inayo fuata.
Hii haitawezekana kwani Hersi anajibembeleza kwa Motsepe ila ilitakiwa afanye hivyo.
 
Mbona huwa hamsemi serikali batili ya CCM iliyoingia madarakani kwa mtu ijitoe??
 
Back
Top Bottom