Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

Motsepe ni muhuni
Amefanya hujuma chafu sana
 
Upangaji wa matokeo ni tuhuma nzito sana. Je yanga ana uthibitisho? Japokuwa ushaidi wa kimazingira inawezekana kukawa na upangaji matokeo lakini kama hakuna uthibitisho yale yanabaki kutambulika kama makosa ya kibinadamu ya refa
Hakuna makosa ya kibinadamu ili Hali Kuna vitendea kazi ambavyo alipaswa kwendakujiridhisha zaidi ya Mara mbili.
 
We una utani eti?

Kwanza huo ulikuwa ni utabiri kuwa fainali ni Ahly na Mamelodi

Hiyo kaisema injinia mwenyewe
 
Bado hujasema...
 
Wewe unaongea kishabiki,kiroho mbaya ila hukuzingatia misingi ya soka tena bila shaka we mpira hujui yani huoni kabisa kama si goli lile?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwa? Una stress? Vipi chai umekunywa?
Poleeeee sana.
 
Uto mnadanganywa na wachambuzi wenu wa mchongo camera iliyo ona mpira hauja ingia ni ile ya juu na ndiyo iliyo amua kwamba sio goli.
Watuwekee basi hata kwenye tovuti za CaF nasisi tujiridhishe na lawama siondoke kwao
 
Maumivu wanayopitia yanga yasikieni tu🤣🤣🤣🤣na sio yakupate
 
Basi tumalize ubishi tuseme lile ni goli. Breaking news. Haya Yanga haoooooo wanaenda kwenye nusu kaputi.😀😀
 
Yanga wanaweza ku report Fifa kuhusu upangaji wa matokeo na ikithibitika basi Mamelody watafungiwa na kuondolewa na Yanga kuendelea na hatua inayo fuata.
Hii haitawezekana kwani Hersi anajibembeleza kwa Motsepe ila ilitakiwa afanye hivyo.
 
Mbona huwa hamsemi serikali batili ya CCM iliyoingia madarakani kwa mtu ijitoe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…