Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

Mamelodi hawana morali tena ya kuendelea na nusu fainali.hii mechi imewaumbua.
 
Lile shuti la Aziz limewatia kiwewe kuanzia refa ..kipa ..mshika kibendera mpaka caf wenyewe,yaani yanga wamenyimwa goli. ..wamenyimwa kona..Azizi apewe maua yake.
 
Maumivu wanayopitia yanga yasikieni tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃna sio yakupate
Bongo Raha Sana, mtu kapigwa mbili kavu Cairo kajikausha kimya anaomba upepo wa Yanga na Mamelodi uendelee wasahau kuhusu yeye kabisa.

Maana media zote za michezo mjadala ni mechi ya Yanga na Mamelodi.
 
We una utani eti?

Kwanza huo ulikuwa ni utabiri kuwa fainali ni Ahly na Mamelodi

Hiyo kaisema injinia mwenyewe
Huyo hajui timu zinavuta Billion ngapi kila stage.

Ukichukuwa Hilo kombe kwenda club bingwa ya dunia kuna kama Billion 140 club inapewa.

Sasa yeye kalewa ugoro anadhani NI Jambo rahisi, na Mamelodi wamewekeza hasa wanasajili kwa gharama kubwa,
 
Hakuna makosa ya kibinadamu ili Hali Kuna vitendea kazi ambavyo alipaswa kwendakujiridhisha zaidi ya Mara mbili.
Mkuu hukumu haitolewi kwa hisia. Yanga ana ushaidi wa kuthibisha matokeo yalipangwa mfano voice note, sms, video n.k? Narudia tena kama hakuna uthibitisho yanabaki kuwa makosa ya kibinadamu cha zaidi labda refa atawajibishwa tu ila matokeo hayatabadilishwa.
 
Nikinachotafutwa ni haki haijalishi kutofuatwa kwa matokeo... Ingekuwa hivyo basi hata wauaji wasingekuwa wanashitakiwa coz kufungwa au kushitakiwa kwao hkumrudishi aliyekufa. Ushahidi wa kimazingira na vdeo vipo kila mwenye akili asiye na mihemko ya Mpira ameona.
 
Wewe unaongea kishabiki,kiroho mbaya ila hukuzingatia misingi ya soka tena bila shaka we mpira hujui yani huoni kabisa kama si goli lile?
Iyo kawaida Tu bob Orlando alifunga goli pale pale south yaaaaani nchi Ile Ile mechi na Simba clear offside VAR ipo na refa akwenda kureview uto walishangilia Simba wakaumia na mwisho Simba ana ondoka kwenye penati karma malipo ni hapa nchi Ile Ile inatokea kitu kama kile na mwisho mtaani ana ondoka Kwa penati sie Simba tunaona ok maumivu Yale Yale tunapokezana aisee mungu fundi unacho kifurahia Leo kesho Kita kuumiza amini Kwamba.
 
Jambo gumu.
 
Yaani kosa la refa unataka motsepe awajibike,?
 
Video zipo na wote tumeona mpira ulidunda ndani ya mstari kwaiyo ni makosa ya refa na watu wake wa var na hao ndio watapigwa rungu ikionekana hawakutenda haki sasa ukija na tuhuma za kupanga matokeo utatakiwa kuwa na ushaidi iyo ni lesi nyingine
 
Nisoposema Mimi hata mamelody wenyewe watasema
Sasa takataka gani hii umeleta, Mamelod wako wapi hapo kwenye hii takataka yako. Let the bygones be bygones. Mpira umekwisha jana Mamelod wame-advance to the semi-final. Endelea kupiga kelele huenda inasaidia kuondoa machungu uliyonayo moyoni.
 
Huyo hajui timu zinavuta Billion ngapi kila stage.

Ukichukuwa Hilo kombe kwenda club bingwa ya dunia kuna kama Billion 140 club inapewa.

Sasa yeye kalewa ugoro anadhani NI Jambo rahisi, na Mamelodi wamewekeza hasa wanasajili kwa gharama kubwa,
Wenzetu kwa jinsi walivyowekeza unaona kabisa faida ya kufidia gharama zao za Budget haipo kwenye matazamio ya zile pesa watazopata wakiwa mabingwa wa champion league.

Wenzetu wanajua njia pekee ya wao kurudisha pesa zao ni world cup huko.
 
Hizi ndo akili za Wana
utopolo
 
Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
 
Na bado
Lile shuti la Aziz limewatia kiwewe kuanzia refa ..kipa ..mshika kibendera mpaka caf wenyewe,yaani yanga wamenyimwa goli. ..wamenyimwa kona..Azizi apewe maua yake.
Hamjasema
 
Yanga wanaweza ku report Fifa kuhusu upangaji wa matokeo na ikithibitika basi Mamelody watafungiwa na kuondolewa na Yanga kuendelea na hatua inayo fuata.
kabla ya kuanza kuchunguza mechi ya jana tutawaambia wachunguze mechi ya yanga na ihefu ya pili mlivyopanga matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ