Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Sasa Kama mtu unaweka wait masaa 2 unategemea Nini... [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama anajiamini angetoa tu from no where sio waiting za kijinga
Dogo katisha asa hii ngoma utaifananisha na ile ya boss wenu ngoma zima kutaja majina tu[emoji1787][emoji1787]
 
Kwani wasafi mnasemaje????[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona wafuasi wa WCB mpo kazini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuache masikhara konde katisha kwenye ngoma ngoma kaliii sana...100k in 44mins sio mchezo kavunja hadi record ya boss wenu[emoji1787][emoji1787]
Kwamba itafikisha 1M after 8 Hrs sio?
 
Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.

Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.

Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.

WAAH ya diamond platinumz Ni masterpiece kweli WIMBO umetulia, mixing on point na beat iko pahala pake.
DIAMOND PLATNUMZ NAANDAA ALBUM OF THE CENTURY SOUTH AFRICA
Halafu Nyiny Ndo Mnatufanya Watu Kutoka Kigoma Tuonekane Mawaki Mwezio Baba Levo Anataka Kumzalia Diamond ..! Ila Usikate Tamaa Mwamba Unaweza Kupata Kazi Ya Kufua Chup WCB
 
Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.

Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.

Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.

WAAH ya diamond platinumz Ni masterpiece kweli WIMBO umetulia, mixing on point na beat iko pahala pake.
DIAMOND PLATNUMZ NAANDAA ALBUM OF THE CENTURY SOUTH AFRICA
TRY TO BE FAIR
THE SONG IS SUPER
 
Andaa tu hiyo albam ila usimpondee mwenzio.sisi tunaomsapoti yeye ndio tunaokusapoti wewe Kama mashabiki
 
Wimbo ni makelele kuanzia waimbaji mpaka mdundo.
Huu wimbo ndio utachora mstari wa influence ya konde kwenye muziki, ambao bado hamuamini konde kwa sasa hamfikii hata Zuchu after a week njoo tena kwenye hii post nawaaidi wimbo utafeli vibaya sana.

wabongo washamtema hamonaiz.
 
Siamini leo waliokuwa wakiponda views juzi juzi leo wanasiafia.Ngumu sana kutoa views za youtube ktk kupima uzuri wa kazi hasa kwa Tz,sababu wengi wetu huko Itunes,Sportfy,Tidal hatupawezi.
 
Wimbo ni makelele kuanzia waimbaji mpaka mdundo.
Huu wimbo ndio utachora mstari wa influence ya konde kwenye muziki, ambao bado hamuamini konde kwa sasa hamfikii hata Zuchu after a week njoo tena kwenye hii post nawaaidi wimbo utafeli vibaya sana.

wabongo washamtema hamonaiz.
Chawa wa WCB ata post zako zinaonesha

Wivu ni mubaya sana
 
Back
Top Bottom