Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Rudi baada ya wiki utanielewa. Wimbo mpaka sasa hivi haujaingia trending.
Wivu mubaya sana

Kutwa kuwaombea wezenu mabaya, mna roho za chuki sana. Kuna muda unajiuliza mbona sifanikiwi kumbe ni roho yako mbaya ndiyo inakuponza

Sema kwakuwa nyinyi sio wagawa ridhiki hakiharibiki kitu
 
Wivu mubaya sana

Kutwa kuwaombea wezenu mabaya, mna roho za chuki sana. Kuna muda unajiuliza mbona sifanikiwi kumbe ni roho yako mbaya ndiyo inakuponza

Sema kwakuwa nyinyi sio wagawa ridhiki hakiharibiki kitu
Sasa mimi ndio mwenye roho mbaya au watanzania? watanzania washamtema harmonize kama unabisha nimekwambia subiri baada ya wiki utaprove. Mimi sina uwezo wa kushawishi watanzania wampotezee konde mimi nazungumzia hali halisi ila kama utaki kukubali uhalisia utapata maumivu ya bure. Harmonize is done!
 
Kuna mtu amesema haitafika hata trending, ila ajabu ipo number 1 hadi sahizi......

Mungu ndio mtoa ridhiki hakuna nguvu wala makelele yakumzuia Mungu kumpa ridhiki yake kijana....

Hii inaenda kuwa nyimbo kubwa sana, akiweka video nzuri, itafika mbali zaidi.
 
Siyo mbaya sana na siyo mzuri sana. Mixing haijakaa poa sana.
Naona trend ya mabolingo. Alikiba bora arudi kwa man walter
 
Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.

Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.

Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.

WAAH ya diamond platinumz Ni masterpiece kweli WIMBO umetulia, mixing on point na beat iko pahala pake.
DIAMOND PLATNUMZ NAANDAA ALBUM OF THE CENTURY SOUTH AFRICA
Timu wachafu naona wamekutuma kuandika upuuzi huu
 
Back
Top Bottom