Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe Ni kilaza pro max[emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza tumpe Hongera Kwa kumuongezea viewers .
Maana hata ambao walikuwa hawajui kama ametoaf wimbo Ila kwa Maoni Yako wataenda kuangalia mziki Mzuri ..
Shusha ulipata views wangapi?Kweli wewe Ni kilaza pro max[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoma ni mbovu mkuu... Kelele tu..umetumwa
+ video mbovuWimbo mbovuu acheni unafiki. Sound[emoji724]Mixing[emoji724] Ubunifu[emoji724]
Neno kenge halikuwa na nafasiKumamamae 4M, hii ndio hit song ya huu mwaka imeisha hiyo, tunawapa siku 10 za kuumeza huu wimbo mtarudi hapa kukiri kuwa konde boy ni untouchable, WCB hamumuwezi unaambiwa wanaloga balaa, vijana wa IT wameshindwa, email zao za kuizuia zinapigwa chini na YouTube,
Hela ya mtaji imeingia hapo kenge nyie ...
View attachment 1764233
Bonge la ngoma lile,, acha wivu [emoji3]Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.
Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.
Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.
WAAH ya diamond platinumz Ni masterpiece kweli WIMBO umetulia, mixing on point na beat iko pahala pake.
DIAMOND PLATNUMZ NAANDAA ALBUM OF THE CENTURY SOUTH AFRICA
Kweli wewe Ni kilaza pro max[emoji23][emoji23][emoji2
Kenge mwenyewe dogoKumamamae 4M, hii ndio hit song ya huu mwaka imeisha hiyo, tunawapa siku 10 za kuumeza huu wimbo mtarudi hapa kukiri kuwa konde boy ni untouchable, WCB hamumuwezi unaambiwa wanaloga balaa, vijana wa IT wameshindwa, email zao za kuizuia zinapigwa chini na YouTube,
Hela ya mtaji imeingia hapo kenge nyie ...
View attachment 1764233
Consistency is matterDogo Inno tupe mrejesho.
Kwako hila kwangu Ni YANGA ILIYOCHANGAMKABonge la ngoma lile,, acha wivu [emoji3]
Kijana mwenzio anapopigana acha kuweka roho za chuki, wewe huupendi wengine tunaupenda.
ATTITUE NI BONGE LA NGOMA
This is bitter TruthEndelea kutoa promo bila kutambua Ndio utajua kuwa hujui.
Aisee inno safari hii huyu mmakonde amejua kuwanyoosha 🤣Consistency is matter
Jama ana ushetwan ndani yake hahahaUzi kuhusu Harmonize umewekwa na Kigoma Independent what do you expect?teh
We jamaa na ile ID yako nyingine ya Innocent huwezi kumsifia Harmonize
Sema nyimbo mbaya
Wew unayejitambua tuma picha ya kunduMWANAMME ANAYEJITAMBUA HAWEZI TUMA PICHA YA DUDU KWA MWANAMKE.