Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Kuna mtu amesema haitafika hata trending, ila ajabu ipo number 1 hadi sahizi......

Mungu ndio mtoa ridhiki hakuna nguvu wala makelele yakumzuia Mungu kumpa ridhiki yake kijana....

Hii inaenda kuwa nyimbo kubwa sana, akiweka video nzuri, itafika mbali zaidi.
Hamna kitu acheni kumfariji
 
Sijui kwann lakini kuna kile kipande alikitoa mwanzo cha hyo video yake .....
It was so good lakini baada ya kusikiliza nyimbo nzima ni kama kaharibu hv....

Sijui kama nitaeleweka lakini ni kama nyimbo ilipoa tofauti na chorus yake ilivochangamka
Nyimbo ingechangamka kama chorus nahisi ingekua hit.....
Sijui lakini anyway

Kwani hiyo patitude inasemaje kwanza?[emoji23]
Hamna kitu pale anajitutumua tu kijana
 
nimesoma hiki kibandiko nikaingia youtube kuusikiliza huu wimbo husika nimekuta ni tofauti na unavyokosolewa,ni wimbo mzuri na unachezeka ni remix nzuri tu. nimejaribu kuukosoa nimeshindwa tuweke ushabiki pembeni dogo amejitahidi sana tu
Hapo tumepigwa Sana aseee
 
Kwanza tumpe Hongera Kwa kumuongezea viewers .

Maana hata ambao walikuwa hawajui kama ametoaf wimbo Ila kwa Maoni Yako wataenda kuangalia mziki Mzuri ..
 
Back
Top Bottom