Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Sijui kwann lakini kuna kile kipande alikitoa mwanzo cha hyo video yake .....
It was so good lakini baada ya kusikiliza nyimbo nzima ni kama kaharibu hv....

Sijui kama nitaeleweka lakini ni kama nyimbo ilipoa tofauti na chorus yake ilivochangamka
Nyimbo ingechangamka kama chorus nahisi ingekua hit.....
Sijui lakini anyway

Kwani hiyo patitude inasemaje kwanza?😂
 
nimesoma hiki kibandiko nikaingia youtube kuusikiliza huu wimbo husika nimekuta ni tofauti na unavyokosolewa,ni wimbo mzuri na unachezeka ni remix nzuri tu. nimejaribu kuukosoa nimeshindwa tuweke ushabiki pembeni dogo amejitahidi sana tu
 
Rudi baada ya wiki utanielewa. Wimbo mpaka sasa hivi haujaingia trending.
Aibu yako Kipara ndezi, [emoji2]
IMG_20210423_234634.jpg
 
Oya pati tude I want tu shode ma hati tude

Hivi kwa nini anaiga kuongea kwa Wanaigeria?? Kila nyimbo ni hivi? Labda kashamba bado haka kafupi nyundo. Huyu WCB walikuwa wanamuongoza vyema, sasa ni utopolo tu. Mavazi 0, utunzi 0 (kama hii nyimbo ukiisikia tu unakumbukia nyimbo aliyoiga, na siku hizi anaiga waziwazi), sound nazo ni fujoo. Dogo bado sana.
 
Hii Pimbi imetelekeza Uzi.. Baada ya kupigwa KO,

Mwisho wa Uchawa ni Aibu
 
Back
Top Bottom