mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Acha uboya nenda kwa huyo kibamia wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo katisha asa hii ngoma utaifananisha na ile ya boss wenu ngoma zima kutaja majina tu[emoji1787][emoji1787]Sasa Kama mtu unaweka wait masaa 2 unategemea Nini... [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama anajiamini angetoa tu from no where sio waiting za kijinga
Mkuu ngoma kali sana,sema hawa vijana wa usafini wametumwa na boss wao kwahyo wanatimiza wajibu[emoji23]Tuache unafiki ngoma ni nzuri
Wabongo kwa roho mbaya ndio wenyeweMkuu ngoma kali sana,sema hawa vijana wa usafini wametumwa na boss wao kwahyo wanatimiza wajibu[emoji23]
Tuache unafiki ngoma ni nzuri
Mimi naona iko poa tulabdaa.ila beat MBOVU utafikiri wamepiga mabati
Mimi naona iko poa tu
Kwamba itafikisha 1M after 8 Hrs sio?Naona wafuasi wa WCB mpo kazini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuache masikhara konde katisha kwenye ngoma ngoma kaliii sana...100k in 44mins sio mchezo kavunja hadi record ya boss wenu[emoji1787][emoji1787]
Yaani chawa wa Diamond aanzishe kabisa uzi wa kumsifia Harmonize!! Hata huo wimbo ungekuwa ni mzuri kiasi gani, bado ungekuja tu na mashairi ya kichawa chawa.Mbona akifanyaga good Nampa credit Ila kwa hapa kaboronga sana au wewe unasemaje...??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu Nyiny Ndo Mnatufanya Watu Kutoka Kigoma Tuonekane Mawaki Mwezio Baba Levo Anataka Kumzalia Diamond ..! Ila Usikate Tamaa Mwamba Unaweza Kupata Kazi Ya Kufua Chup WCBNimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.
Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.
Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.
WAAH ya diamond platinumz Ni masterpiece kweli WIMBO umetulia, mixing on point na beat iko pahala pake.
DIAMOND PLATNUMZ NAANDAA ALBUM OF THE CENTURY SOUTH AFRICA
TRY TO BE FAIRNimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.
Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.
Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.
WAAH ya diamond platinumz Ni masterpiece kweli WIMBO umetulia, mixing on point na beat iko pahala pake.
DIAMOND PLATNUMZ NAANDAA ALBUM OF THE CENTURY SOUTH AFRICA
Andaa tu hiyo albam ila usimpondee mwenzio.sisi tunaomsapoti yeye ndio tunaokusapoti wewe Kama mashabikiNimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.
Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond Platnumz.
Pia, kijana anapapala sana maana kakurupuka na mixing Ni mbovu sana yaani makelele tu.
WAAH ya diamond platinumz Ni masterpiece kweli WIMBO umetulia, mixing on point na beat iko pahala pake.
DIAMOND PLATNUMZ NAANDAA ALBUM OF THE CENTURY SOUTH AFRICA
Chawa wa WCB ata post zako zinaoneshaWimbo ni makelele kuanzia waimbaji mpaka mdundo.
Huu wimbo ndio utachora mstari wa influence ya konde kwenye muziki, ambao bado hamuamini konde kwa sasa hamfikii hata Zuchu after a week njoo tena kwenye hii post nawaaidi wimbo utafeli vibaya sana.
wabongo washamtema hamonaiz.
Rudi baada ya wiki utanielewa. Wimbo mpaka sasa hivi haujaingia trending.Chawa wa WCB ata post zako zinaonesha
Wivu ni mubaya sana