Kwa hii Attitude, kweli Harmonize tumepigwa

Wimbo ni mzuri japo kwa upande wangu naona kama Awilo kapewa muda mwingi sana kwenye huo wimbo kuliko wenye wimbo wao, na kuufanya wimbo uwe mrefu sana dakika 4:45.
 
Kwanza tumpe Hongera Kwa kumuongezea viewers .

Maana hata ambao walikuwa hawajui kama ametoaf wimbo Ila kwa Maoni Yako wataenda kuangalia mziki Mzuri ..
Kweli wewe Ni kilaza pro max[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumamamae 4M, hii ndio hit song ya huu mwaka imeisha hiyo, tunawapa siku 10 za kuumeza huu wimbo mtarudi hapa kukiri kuwa konde boy ni untouchable, WCB hamumuwezi unaambiwa wanaloga balaa, vijana wa IT wameshindwa, email zao za kuizuia zinapigwa chini na YouTube,

Hela ya mtaji imeingia hapo kenge nyie ...
View attachment 1764233
 
Mi najiuliza tu hizo views kapataje..!?
 
Neno kenge halikuwa na nafasi
 
Bonge la ngoma lile,, acha wivu [emoji3]
Kijana mwenzio anapopigana acha kuweka roho za chuki, wewe huupendi wengine tunaupenda.

ATTITUE NI BONGE LA NGOMA
 
Kenge mwenyewe dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…