Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

Unatafuta kuolewa? Chadema hatupendi ushoga.
Ngojea ni kuwache maana unako elekea utapigwa ban bure.

Jambo la msingi nimewapa taarifa wana jf kuwa wewe siyo mwana cdm .

Ongelea mambo ya chama chako ulichokimbila ccm na cdm yetu tuwachie wenyewe.
 
Unatoa taarifa kama nani? Naelekea mtaa wa ufipa kufungua ofisi na wananijua mimi ni mwanachama shupavu sio wewe shabiki maandazi
 
Shida yenu you don't have agenda. Na mlikuwa mnaponda sana kipenzi cha wananchi. So na nyinyi mnaonekana wasaliti. Labda mbadili gia angani na mtembelee mistari ya MagufuliJP. Hata kura yangu mtapata.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
issue sio kutembelea mistari, issue ni kuuishi mistari na maono..
 
Huyu ni mwenzako hapo Lumumba!
 
Mtajuana wenyewe huko CCM,usituletee nuksi zenu huko

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…