MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Tupia picha hizi ni zama za technologia. Ukisema bila picha tunawezasema mwongoWrong timing, siku za kazi ngumu kufanikiwa, labda kwa wale waliosafirishwa kwa mabasi kutoka Kagera, Mara, Simiyu,Shinyanga, Tabora na Singida. Nawaona hapa mwanza wanagawana hela kwenye mahoteli na gesti, halafu wanasaini, kila kikundi na kiongozi wake akiwa na kiroba cha pesa.
Sasa sijui kwa nini maandamano mtu alipwe
Proper timing ni ijumamosi
Achukue picha ili apigwe?!!! Unafikiri inaruhusiwa kusemwa hiyo?!!!!Tupia picha hizi ni zama za technologia. Ukisema bila picha tunawezasema mwongo
Ila si mlisema CHADEMA hawana pesa, sasa hizo za kugawa wanazitoa wapi?Wrong timing, siku za kazi ngumu kufanikiwa, labda kwa wale waliosafirishwa kwa mabasi kutoka Kagera, Mara, Simiyu,Shinyanga, Tabora na Singida. Nawaona hapa mwanza wanagawana hela kwenye mahoteli na gesti, halafu wanasaini, kila kikundi na kiongozi wake akiwa na kiroba cha pesa.
Sasa sijui kwa nini maandamano mtu alipwe
Proper timing ni ijumamosi