Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Katika uhalisia ndani ya taifa mgombea wa chama tawala ndio anajiundia tume mwenyewe hii sio demokrasia wakati nchi inawagombea zaidi ya mmoja na inamfumo wa vyama vingi vya siasa na ina wataalamu wa kisiasa kwanini mgombea anaunda tume ?
Nilishauri tume huru kuundwa na wataalamu wa masuala ya kisiasa watakao tokana na vyama vyote vya siasa nchini hapa ndio tutapata tume huru na ya haki,
lakini kitendo cha mgombea kuunda tume hii itakayoenda kusimamia uchaguzi mzima bila ushiriki wa wowote wa vyama vingine vya kisiasa au wataalamu hii itakuwa ni tume ya kujiteuwa kwa alie iunda na sio tume ya uchaguzi huru na wa haki.
unajua Tunapofika kwenye kipindi cha uchaguzi mkumbuke pia kwamba serikali inakuwa ni chama cha siasa na raisi anakuwa kama mgombea kikatiba kwahiyo haiwezekani mgombea aunde tume mwenyewe alafu iwe ya haki na huru hii sio demokrasia.