Kwa hiki alichofanya Harmonize live stejini inashangaza sana kuona ukimya wa BASATA na Wizara husika, This is too much, Hatua zichukuliwe upesi

Kwa hiki alichofanya Harmonize live stejini inashangaza sana kuona ukimya wa BASATA na Wizara husika, This is too much, Hatua zichukuliwe upesi

Daaaah yaan mi nkifanya hivyo lazima dushelele lisimame sijui anawezaje kufanya hivyo mbele za watu!!
 
Sasa hapo kipi kigeni kwako!!
Kwa mfano!?...

Ambacho hujawahi ona ama kufanya,kigeni kwako ni kipi!?.

Istoshe wote wanaohudhuria tamasha ... Ni over18!

Mkifanyia chumbani... Imehalalishwa!... Stejini inaonekana haramu!? Acha watu wale vibe!...

Ama Kuna mtoto wa dadaako ulimpeleka hapo!?... akamuone Tembo!?...ulidhani hapo ni hifadhini!? Ngorongoro eeh!?

Walioko humo wote ni watu wazima!

Waenda mwezini!
Na wachomeka mipini!
 
Mbona kafanya mara chache angetakiwa apige kama mara mia.

Kwanza wewe mwenyewe umehusika kwenye kusambaza hiko harmonize alichokifanya. mimi nisingejua kama sio wewe kuweka hii video. na wewe tukushtaki wapi baada ya harmonize kuadhibiwa na basata??
Ni kweli, na hayo mambo yamefanyika usiku.
Kuna ile diamond anatomasa chuchu za zuchu
 
Back
Top Bottom