Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu komwe bichwa ni demu wa kiume
Alikuwa anawafikiria Kajala na mwanaye pamoja na mjukuu wa Kajala ajaye
Afanyeje?Dkt. Gwajima D ninashauri kijana apigwe ban miezi 3 ajitatathmini.
Ilibidi afungiwe kufanya show hata miaka miwili akili imkae sawa.
Miezi mitatu michache mno ,huyo afungiwe miaka miwili ili iwe fundisho kwa wengine.Dkt. Gwajima D ninashauri kijana apigwe ban miezi 3 ajitatathmini.
Kupiga nduruSasa hapo tafsiri yake kimziki sijui ni ipi
UnatesekaBangi na madawa ya kulevya mbaya sana
Unateseka
Watu ni wanafiki sana...yule anayefukuza dada poa cha ajabu na yeye ni mtumiaji.Yaan humu Watu ni watumiaji wazuri wa hii style lkn mnavolaaani sasa humu jukwaani.....
Sasa hapo kipi kigeni kwako!!
Ni kweli, na hayo mambo yamefanyika usiku.Mbona kafanya mara chache angetakiwa apige kama mara mia.
Kwanza wewe mwenyewe umehusika kwenye kusambaza hiko harmonize alichokifanya. mimi nisingejua kama sio wewe kuweka hii video. na wewe tukushtaki wapi baada ya harmonize kuadhibiwa na basata??
Unamsumbua bure mama wa watu. Hakuna cha ajabu hapoDkt. Gwajima D ninashauri kijana apigwe ban miezi 3 ajitatathmini.
Ni kweli, na hayo mambo yamefanyika usiku.
Kuna ile diamond anatomasa chuchu za zuchu
Ni intro mkuuMie naulizia tu, hii ni half connection au introduction to connection?