Kwa hiki kipindi kifupi kuelekea 2025 uchaguzi naona tengua tengua ni kama msemo kukumbuka shuka asubuhui

Kwa hiki kipindi kifupi kuelekea 2025 uchaguzi naona tengua tengua ni kama msemo kukumbuka shuka asubuhui

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Sioni kama kuna mabadiliko yanaweza fanyika mda mfupi baada ya kupigiwa kelele mda mrefu.
Hakuta kuwa na nguvu ya watu kujituma sana kwa mda huu uliobaki ambao 2025 ni uchaguzi.

Hakuna mwenye uwakika kwa mda huu lazima utendaji upungue mfano unaweza kuwa kitengo fulani kesho ukawa benchi.

Hakuna anayetaka sasa hivi kupokea heshima za kesho unachekwa kama nape mlimani citu v8 inaondoka. Je kama ndo mlikuwa porini barabarani si unashushwa njiani.

Kwa hizi teuzi yani watu wanaomba usiku usiingie uwezi jua kesho yako.
 
Acha nichangie ili wengine wachangie, uzi hauna wachangiaji kabisa.
Au bro wa kuzimu kaandika pumba sana??
Semeni chochote wadau......
 
Back
Top Bottom