BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia..
Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa nachangia NSSF itakuwa wakati sahihi kuidai kutokana na ugumu wa maisha nayopitia.
Nimeeanda tawi la Ubungo kuulizia utaratibu wananiambia inabidi niwe na barua ya kumaliza mkataba, cheti cha muajiri wangu kimsingi hivyo vyote Sina nilipewa na muajiri wangu ila Sina idea yoyote vipo sehemu gani kwa kifupi nimepoteza.
Nikaambiwa kwenye fomu ya madai inabidi nipeleke kwa muajiri kuna section yake ya kujaza muajiri wangu yupo Ruvuma mimi nipo Dar.
Binafsi kitu nilichonacho kinachohusiana na kazi yangu ya zamani ni Mkataba na salary slip pekee. Je, kuna possibility ya kupata madai yangu ukizingatia ndio tumaini pekee nililonalo kwa sasa?