Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
- Thread starter
- #21
Vipi kuhusu Sudan, wale dini gani? Uko pamoja nao?
Unaelewa maana "waislamu kote duniani"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu Sudan, wale dini gani? Uko pamoja nao?
Ndiyo tunachoweza waafrika...kuhubiri dini tulizoletewa....وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
Ndiyo tunachoweza waafrika...kuhubiri dini tulizoletewa....
hapa ndipo walipofanya makosa. Waliua wangapi. Kwa nini hiyo hujiulizi. Haya yote wamesabisha wao. Cha kujua vita haina macho wala huruma. Sehemu kukiwa na vita tegema haya yote. Sasa wao wanapojificha kwa raia sasa yeye adui atafanyaje.TAREHE 07 HAMAS WALIFUATA NINI ISRAELI KIPINDI CHA KUANZISHA VITA
Janjaweed wanayoyafanya huko Sudan kuuwa watu weusi tena waislamu wenzao hauwezi sikia wakilisemea hata siku moja hawa wafusia wa allah.Waislamu wa sudan,,vipi sio ndugu zako wanavyokufa???
Au wasomali wa Mogadishu???
Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu
wewe mbona huangalii kuanzia SUDAN? Au una matatizo ya kuona watu weusi?Wewe unaangalia vitq kuanzia tarehe7 ? Huko nyuma hautaki kufuatilia unyama walifanyiwa Palestina.
Ndiyo maana nakuambi umri wako mdogo hufahamu mgogoro wa Mashariki ya Kati sasa Sudan kaingia vipi?wewe mbona huangalii kuanzia SUDAN? Au una matatizo ya kuona watu weusi?
damu ya mwarabu ni nzito sana kuliko ya mmakonde mwenzako...Ndiyo maana nakuambi umri wako mdogo hufahamu mgogoro wa Mashariki ya Kati sasa Sudan kaingia vipi?
Umekuja kuhubiri Dini umu au umekuja kuelezea hali ya Gaza Kwa sasa??.Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu
Walienda kuchinja watu,halafu hivi sio vita vya kidini mambo ya kutujazia saver zetu humu jf kwa vita vinavyopiganwa Middle East hatutaki kabsa. Mtu yupo Gairo kazi kuwashwa washwa na mambo yasiyomuhusu....eti ooo uislamu uislamu,kwani Hamas tarehe 7/10 walienda Israel wamevaa kanzu? Wacha wauliwe kabsa huko Gaza mamia kwa maelfu.TAREHE 07 HAMAS WALIFUATA NINI ISRAELI KIPINDI CHA KUANZISHA VITA
Shangaa na weweUmekuja kuhubiri Dini umu au umekuja kuelezea hali ya Gaza Kwa sasa??.
We jamaaa bhana! Umenifanya ni enjoy lunch yangu... Hongera kwako nakwa wanaokuzunguka( family)Si mlikuwa mnpongezana kwa walichofanya Hamas OCT 7? Walifanya unyama kwa watoto, wanawake na watu wengine. Mlilaani tukio lile? Lakini pamoja na hayo yote, nchi yako iko vizuri mpako ukimbilie kutetea ya wengine? Humuhumu Afrika kuna shida, huoni? Yaani wewe nyumba yako ina matatizo kibao halafu unakuwa concerned na ya jirani ambaye wewe ukiwa na matatizo wala hakujui....utumwa gani huu wa akili? Watanzania nani alituroga? Ebu nenda kawasaidie ndugu zako wamasai Loliondo...acha ubwege
Sana mmasai mwenzetu Mollel.na mchag a mwenzetu Mtenga wametekwa na Hamas yeye anamwaga kilio analilia wapalestina anaacha kulilia ndugu zetu waliowateka HamasYani mmasai wa nchi moja unamkana, ila mpalestina asiye kujua unamdhamini. Kweli wewe mtumwa.
Na wewe nenda kaongeze nguvu huko kwa ndugu zako Hamas....usituletee utopolo hapa
Sio lazima uwe na Umri mkubwa ili kuifahamu Historia ya Mashariki ya Kati.Umri wako bado mdogo ufahamu historia ya Mashariki ya Kati endelea na ushabiki mandazi.