Kwa hiki wanachokifanya Israel dhidi ya watoto, wamama na wazee πŸ‘‡

Ndiyo tunachoweza waafrika...kuhubiri dini tulizoletewa....
 
TAREHE 07 HAMAS WALIFUATA NINI ISRAELI KIPINDI CHA KUANZISHA VITA
hapa ndipo walipofanya makosa. Waliua wangapi. Kwa nini hiyo hujiulizi. Haya yote wamesabisha wao. Cha kujua vita haina macho wala huruma. Sehemu kukiwa na vita tegema haya yote. Sasa wao wanapojificha kwa raia sasa yeye adui atafanyaje.
 
Waislamu wa sudan,,vipi sio ndugu zako wanavyokufa???
Au wasomali wa Mogadishu???
Janjaweed wanayoyafanya huko Sudan kuuwa watu weusi tena waislamu wenzao hauwezi sikia wakilisemea hata siku moja hawa wafusia wa allah.
 
wewe mbona huangalii kuanzia SUDAN? Au una matatizo ya kuona watu weusi?
Ndiyo maana nakuambi umri wako mdogo hufahamu mgogoro wa Mashariki ya Kati sasa Sudan kaingia vipi?
 
TAREHE 07 HAMAS WALIFUATA NINI ISRAELI KIPINDI CHA KUANZISHA VITA
Walienda kuchinja watu,halafu hivi sio vita vya kidini mambo ya kutujazia saver zetu humu jf kwa vita vinavyopiganwa Middle East hatutaki kabsa. Mtu yupo Gairo kazi kuwashwa washwa na mambo yasiyomuhusu....eti ooo uislamu uislamu,kwani Hamas tarehe 7/10 walienda Israel wamevaa kanzu? Wacha wauliwe kabsa huko Gaza mamia kwa maelfu.
 
We jamaaa bhana! Umenifanya ni enjoy lunch yangu... Hongera kwako nakwa wanaokuzunguka( family)
 
Yani mmasai wa nchi moja unamkana, ila mpalestina asiye kujua unamdhamini. Kweli wewe mtumwa.
Sana mmasai mwenzetu Mollel.na mchag a mwenzetu Mtenga wametekwa na Hamas yeye anamwaga kilio analilia wapalestina anaacha kulilia ndugu zetu waliowateka Hamas

Mungu anatulipia watanzania kisasi.kupitia IDF jeshi la Israel kwa ajili ya watu wetu wawili waliotekwa na Hamas akina Mollel na Mtenga
 
Israel mtoa Roho za magaidi
nasemaje tembeza moto tembeza moto
mpaka aya magaidi yafutike kwenye uso wa duniyaa
wabilah towfiq
 
Arabs wanaounga mkono Hamas nchini Israel wameambiwa anayetaka kusaidia Hamas Mabus yapo tayari kuwapeleka for free.. walikuwa wamekusanyika wakaanza kupotea mmoja baada ya mmoja.. watu wanasumbua nchi zilizotulia ndio dawa yao wakiandamana kamata tia ndani ya bus wajikute Gaza ndio wataekewa nini maana ya kuunga mkono magaidi
 
Udini ni kitu kibaya sana ndugu yangu. Kuna wakati inabidi tukumbuke kuwa hizi dini tulizaliwa tukazikuta na kama sikosei historia inatuambia kuwa hapo enzi na enzi hizi dini hazikuwepo kabisa. Tuishi nazo lakini tusiruhusu zikatufanya tukashindwa kuwa BINADAMU wenye mioyo safi na upendo baina yetu.

Ni kweli kinachotokea huko Israel na Palestine sio kitu kizuri na cha kufurahia wala kushangilia kabisa. Ingependeza pia ningeona uzi wa wewe kukemea pia kwa walichoanza kukifanya palestine(Hamas) hapo oct 7 na kuleteleza haya tunayoyaona sasa hivi, kwani huko Israel pia walikufa watoto pamoja na watu wasio na hatia.

Wanachokifanya Israel pamoja na Palestine(Hamas) ni jambo la kulaani dunia nzima bila kujali imani zetu za kidini ambazo wote tulizaliwa tukazikuta.

Vita na Udini ni mbaya sana.

"There is no glory in battle worth the blood it costs"
 
Umri wako bado mdogo ufahamu historia ya Mashariki ya Kati endelea na ushabiki mandazi.
Sio lazima uwe na Umri mkubwa ili kuifahamu Historia ya Mashariki ya Kati.
πŸ‘‰Wapo wazee kukuzidi ww lakini hawajui na wala hawana mpango wa kukifahamu kinachoendelea Mashariki ya Kati. Hakina Tija kwao i.e. Not interested.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…