Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Unajua nn magufuli alichukua fomu kimya kimya hakuitisha hata mkutano sasa angempaje support

Acha uongo wewe...kama ni maandamano magufuli aliyafa sana pindi alipokwenda kuchukua fomu #NEC na alipochukua fomu alirudi kuhutubia mkutano pale lumumba.
 

Attachments

  • DSC_0036 (1).jpg
    39.2 KB · Views: 114
je wewe una uhakika gani hajaridhika na Utajiri alioupata kupitia system ya sasa?

Mkuu hakuna mtu anayeridhika na mafanikio au pesa hata Bill Gate" nachosema utajiri wake ungekua mkubwa sana kama system ya bongo ingekua vzr. Mauzo ya albums ringtones deal angekua zaid ya hapo alipo lkn utendaji mbovu wa serikali yetu umeshindwa kusimamia wasanii kazi zinaibiwa wao wanaona poa tu.
 
Maisha mnayoish ni vutuko kwa wenye pesa demokrasia imeua kila kitu
 
Ana haki lakin aangalie wao wenyewe kazi zao zinaibiwa,hawana hatimiliki,wanadanganywa na dinner ya ikulu,basi angeuchunaa,yaan hivi kaniudhi kanitoka puuuuu

Angekausha tu. Mbona Nikki wa pili amealikwa ikulu zaid ya mara5 ad sahv ajapost upuuzi wowote wa ccm. Mondi nimekuja kujua ajielewi na anatetereka njaa haijamuisha mtt wa tandale yule msanii mkubwa africa unatumiwa na chama kinachoumiza wananchi alafu c tumchekee.
#tutamnyooshathisTime
 

Hahaahaaa!...vijana gani hao wenye akili wewe?...na wanacheza wimbo upi huo??...au HAWA MNAOWAPANDISHA KWENYE MALORI YA MCHANGA KWENDA KWENYE MIKUTANO YENU ILI NANYINYI MUONEKANE MPO NA UMATI SIO???
 
Acha uongo wewe...kama ni maandamano magufuli aliyafa sana pindi alipokwenda kuchukua fomu #NEC na alipochukua fomu alirudi kuhutubia mkutano pale lumumba.

Acha kurukupuka bsie tunazungumzia kipindi wanatangaza nia ndani ya ccm diamond alienda kwa lowasaa arusha wakati ananzisha safari ya matumaini ndo maana nikasema magufuli alichukua fomu ndani ya ccm kimya kimya
 

Hivi nyie ccm ma CCM hamuitaki na mnataka CDM au UKAWA mnatumia vigezo gani? CDM ilikuwa na malengo yake tofauti kabla ya kuvamiwa na hao hao walioharibu jina la CCM jamani. Mbona hamshughulishi ubongo wenu hata kidogo tu? Mlimchukia Masha, yuko CDM sasa pamoja na wengine wengi. Kweli bongo kila mtu na za kwake.
 
Kuwa na Uelewa Mdogo ni Tatizo Kweli... Tanzania Kila Mtu Ana maamuzi Yake na ana Uhuru wa kuchagua kile anachokitaka na kukiona kinafaa
 

Ahahahaaa Calmdown broo kitu niiiiiiiiii
DIAMONDPLATNUMZZZ ft NE-YO ndio habari ya mjiniiiii
 
Naomba kuuliza. Kwani ukawa ndio utakuwa unampangia ratiba za show zake na tour za nje ya nchi?
Chibu kipaji chake kimeshaonekana kimataifa hata aje raisi kutoka wapi hata athirika chochote , sbb kazi zake ni kwa juhudi zake binafsi

Umeshindwa kunielewa mantiki yangu wewe na naona ulichojibu hapo umebase sana hapo niliposema kuhusu SERIKALI YA UKAWA...Anyway! yani anachofanya mondi kwa sasa ni "KUINAMA BAADA YA KUTAKA CHA UVUNGUNI NA AKAPATIWA"...usiponielewa na hapa tena bhasiii...hamna haja ya #Conva !
 

gamba at work!!!
 
Sijawahi kuona mtu mjinga duniani kama wewe.hivi diamond yeye ajifiche asiseme chama au mgombea anayemtaka ili iweje? Uliwahi kuona wapi hii style hapa duniani? Akili yako ni sawa na bata.

Heee!...nawewe ni mjinga pia ndomaana umenijua mimi ni mjinga mwenzako...ebu wacha vituko wewe mjinga mwenzangu hapa duniani,wakati akili yangu ikiwa sawa na bata...yako wewe ni ya #KUNGURU (NDEGE HAFUGIKI HUYU).
 
Kwenye huduma za afya.... miaka zaidi ya 50 ya ccm bado wagonjwa wanalala chini....bado dawa na vipimo hakuna....


Bado elimu bora hakuna...walimu hawatoshi maabara hakuna vitabu hakuna

Bado mkulima anatumia jembe la mkono...anaishi nyumba za nyasi....

Wao wasanii so wa mziki wala wa movie hata hatimiliki hawana...kazi zao hazina maslahi....

Wafanyakazi wana maisha magumu

Tembo wanauliwa
Madini yanavunwa

Halafu wanahamasisha kuwapigia kura?????
 
Acha kurukupuka bsie tunazungumzia kipindi wanatangaza nia ndani ya ccm diamond alienda kwa lowasaa arusha wakati ananzisha safari ya matumaini ndo maana nikasema magufuli alichukua fomu ndani ya ccm kimya kimya

Ok!..ila mkuu hukuwa specific kuhusu fomu zipi but umesomeka now!
 

Mtakufa na roho zenu nyeusi. Mtoto wa kiume unakuwa na chuki ka una mimba changa. ONDOKENI,TENA ONDOKENI WOTE. MASHABIKI WA KWELI WATABAKIA.
 

Ivi wewe una akili kweli. Au umeanza mjua DIAMOND baada ya NANA. Wimbo wa MBAGALA unajua CCM walishauchukua kitambo sana na umetumika ktk kampeni zao muda mrefu. Mbona success zimeendelea kuflow kwa kijana.

WHO ARE U TO DECIDE HIS DESTINY?.
 
Mtakufa na roho zenu nyeusi. Mtoto wa kiume unakuwa na chuki ka una mimba changa. ONDOKENI,TENA ONDOKENI WOTE. MASHABIKI WA KWELI WATABAKIA.

Kijana naona umeenda mbali sana labda imetokana na kupanic just calmdown alafu uelewe...maana unavyosema mashabiki wa kweli mtabakia kwani mimi nilikuwa shabiki wa mondi?..labda nikwambie tuu sikuwai kuwa #Teamondi ila yote haya ilikuwa ni katika kutoa views juu ya alichofanya boss wako mondi maana ata mie nilitembelea page yake INSTA nikaona upepo ulivyo na ukiangalia vizuri ni ukweli mtupu kutokana na carrier yake kuwa na supporters wa itikadi tofauti za vyama maana si wote ni CCM hakupaswa kufanya vile...sasa sijui ishu ya roho nyeusi na mimba changa zinatoka wapi...Anyway! Sikulaumu inawezekana UWEZO WAKO WA KUFIKIRI ULIOPELEKEA UANDIKE HAYO NDIPO ULIPOISHIA HAPO!
 

kumbe napoteza muda wangu jibishana na hater papa.

Useless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…