kijana naona umeenda mbali sana labda imetokana na kupanic just calmdown alafu uelewe...maana unavyosema mashabiki wa kweli mtabakia kwani mimi nilikuwa shabiki wa mondi?..labda nikwambie tuu sikuwai kuwa
#teamondi ila yote haya ilikuwa ni katika kutoa views juu ya alichofanya boss wako mondi maana ata mie nilitembelea page yake insta nikaona upepo ulivyo na ukiangalia vizuri ni ukweli mtupu kutokana na carrier yake kuwa na supporters wa itikadi tofauti za vyama maana si wote ni ccm hakupaswa kufanya vile...sasa sijui ishu ya roho nyeusi na mimba changa zinatoka wapi...anyway! Sikulaumu inawezekana uwezo wako wa kufikiri uliopelekea uandike hayo ndipo ulipoishia hapo!