Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Napenda kumjulisha msanii diamond platinumz, kuwa kwa tukio lile la jana pale uwanja wa jangwani kuwabeza na kuwakashifu upinzani umejimaliza rasmi! Kumbuka sio ccm pekee ndo waliokuwa wanahudhuria katika matamasha yako, wala kukupigia kura ulipokuwa unawania tuzo mbalimbali, ni watanzania wa itikadi zote. Sasa kwasababu umeamua kuchagua upande, basi ni upande huo ndo watakao kusupport. Sifa zimejaza kichwa chako mpaka umejisahau na kuona hakuna wa kukuporomosha wala kukufanya chochote. Ungekuwa na busara ungejifunza kwa yaliyomkuta Marlow baada ya kufanya kama ulivyofanya wewe, leo hasikiki tena. Nimeshangaa wewe kuwepo kwenye kundi la watu wanaowaona vijana kama sisi ni wapumbavu, malofa na vibaka! Mimi Naamini pamoja na watanzania wengine tumechukua hatua ya kukuunfolow katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Pia sitokaa kukupigia kura wala kushiriki kwenye tamasha lako lolote. Ni hayo tu na maamuzi yangu ya kipumbavu na kilofa. Asante
Hivi MALo Yuko wapi angejifunza kupitia hapo tunataka muziki siyo siasa
daimond kufanya campaign za ccm sio kosa bali yale maneno ya dharau kwa wapinzani (lowassa na sumaye ) aliandika insta et kwa nn wanaoenda ukawa wanaiona ccm ni mbaya baada ya kukatwa au kushindwa kupata nafasi za kugombea sasa we huoni anaingilia vitu visivyomuhusu sasa yeye apige pesa asepe sasa mambo ya vijembe na mipasho ya nini ???mimi sijawahi kuipenda CCM toka niwe na uwezo wa kutambua, nahitaji mabadiliko tena sana, lakini siwezi kumchukia diamond eti kisa anaisupport CCM, huu utakuwa ni ushamba kutokujitambua, haitakuwa na tofauti na wale marafiki ambao kisa tu yeye na wewe ni marafiki basi hataki kukuona na X ambaye yeye na huyo X ni maadui kwa kifupi anakulazimisha uwe adui wa adui yake. this is stupid and kwa akili nilizopewa na Muumba i cant deal. think thwice hasa wale mnaojishetua hapa kuwa mlikuwa mnampenda diamond but now, you are no longer.
daimond kufanya campaign za ccm sio kosa bali yale maneno ya dharau kwa wapinzani (lowassa na sumaye ) aliandika insta et kwa nn wanaoenda ukawa wanaiona ccm ni mbaya baada ya kukatwa au kushindwa kupata nafasi za kugombea sasa we huoni anaingilia vitu visivyomuhusu sasa yeye apige pesa asepe sasa mambo ya vijembe na mipasho ya nini ???
huwezi kufanya mabadiliko ukiwa ndani ya ccm mbona jakaya ni rais mzuri tuu ila mfumo ulimbadilisha na kuwa jambazi the same to lowassasidhani kama mtu akisema ukweli ni dhambi? japo huitwa dhambi kwa wasiotaka kuusikia ukweli huo, alichosema ni kweli tupu, mgombea urais wa ukawa ni ccm damu?? kisa tu kukatwa kawa kama kinyonga from green to magwanda, japo mi ni ukawa lakini najiuliza hilo swali mpaka kesho, kwanini lowasa ahamie ukawa baada ya kukatwa??? woote waliokosa nafasi ccm wamehamia ukawa, does this smell well for u?? Mungu tupe uzima octobar tuione.
huwezi kufanya mabadiliko ukiwa ndani ya ccm mbona jakaya ni rais mzuri tuu ila mfumo ulimbadilisha na kuwa jambazi the same to lowassa
sidhani kama mtu akisema ukweli ni dhambi? japo huitwa dhambi kwa wasiotaka kuusikia ukweli huo, alichosema ni kweli tupu, mgombea urais wa ukawa ni ccm damu?? kisa tu kukatwa kawa kama kinyonga from green to magwanda, japo mi ni ukawa lakini najiuliza hilo swali mpaka kesho, kwanini lowasa ahamie ukawa baada ya kukatwa??? woote waliokosa nafasi ccm wamehamia ukawa, does this smell well for u?? Mungu tupe uzima octobar tuione.
Wewe kwa sababu umevurugwa huwezi elewa. Yeye alitakiwa kama msanii alitakiwa apige hela apite hivi, mambo ya kuanza kupaka watu jukwaani na kwenye instagram maana yake ameingia kwenye siasa rasmi. Na mimi sera yangu mtu yoyote wa ccm kwangu hatakiwi. Kwanza sijui kama hata uliisikia hiyo nyimbo aliyoimba kwenye Kampeni au unaropoka tu kama mtu alievurugwa utumbo mpana!hivi ndio kusema mnamjali diamond saaana au ndio wale confused admirers, mara ajifunze kwa marlaw mara ajifunze kwa Mr. nice haya maushauri yooote mnampa, this means what? embu kuweni wa kweli diamond mnampenda saaanaaa au mnamchukia sanaaa,manake dizain kama siwaelewi.
alafu kauli nyingine ambayo haters imekuwa kama addict kwenu, ''NALIONA ANGUKO LA DIAMOND KISANII SIKU SIO NYINGI'' hili anguko toka muanze kuliona limekuwa kama mlima Kilimanjaro hauhami, haurefuki zaidi haupungui.