Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

Napenda kumjulisha msanii diamond platinumz, kuwa kwa tukio lile la jana pale uwanja wa jangwani kuwabeza na kuwakashifu upinzani umejimaliza rasmi! Kumbuka sio ccm pekee ndo waliokuwa wanahudhuria katika matamasha yako, wala kukupigia kura ulipokuwa unawania tuzo mbalimbali, ni watanzania wa itikadi zote. Sasa kwasababu umeamua kuchagua upande, basi ni upande huo ndo watakao kusupport. Sifa zimejaza kichwa chako mpaka umejisahau na kuona hakuna wa kukuporomosha wala kukufanya chochote. Ungekuwa na busara ungejifunza kwa yaliyomkuta Marlow baada ya kufanya kama ulivyofanya wewe, leo hasikiki tena. Nimeshangaa wewe kuwepo kwenye kundi la watu wanaowaona vijana kama sisi ni wapumbavu, malofa na vibaka! Mimi Naamini pamoja na watanzania wengine tumechukua hatua ya kukuunfolow katika mitandao mbalimbali ya kijamii. Pia sitokaa kukupigia kura wala kushiriki kwenye tamasha lako lolote. Ni hayo tu na maamuzi yangu ya kipumbavu na kilofa. Asante

Wewe ni mpumbavuuuuuuu unaaanzaje kumuona diamond amejimaliza na sio legend prof J ?

Hivi kuna mtu mwenye legacy kwenye muziki wa bongo kama J Haule.????????

Msitake kuwapangia maisha watu , mbona husemi J amekwisha baada ya kujiunga CDM?

Mihemko imewazidi mpaka mnasahau njia mlizopitia nyinyi?????

Na bado mtanyooooooooka tu!!!!!
 
alafu kauli nyingine ambayo haters imekuwa kama addict kwenu, ''NALIONA ANGUKO LA DIAMOND KISANII SIKU SIO NYINGI'' hili anguko toka muanze kuliona limekuwa kama mlima Kilimanjaro hauhami, haurefuki zaidi haupungui.
 
diamond hata apate hilo anguko mnalomuombea kesho tu hapo, lakini ukweli utabaki pale pale kuwa ndio kiboko yenu, kama ni kuwatesa haters diamond kafanikiwa kwa kiwango cha juu sana kuwanyoosha haters wake, amewahangaisha kupitiliza, kawaumiza sana vichwa, toka mmeanza kumuombea mabaya mpaka leo vichwa vinawauma, hamtaki kabisa kuskia habari nzuri toka kwake habari mbaya tu ndizo mnazomuombea, mnasahau mtoaji ni Mungu. ni wasanii kibao wapo kisiasa kwa sasa tena wanaonesha wazi wazi wapo upande gani lakini diamond tuu ndio mmemshikia bango,kwanza inaonesha ndio yeye pekee mnayemfuatilia na si mwingine yeyote. keep it diamond we are behind you.
 
Kama kweli mmechukia kila aliye mfolo kwenye mitandao ajitoe
 
mimi sijawahi kuipenda CCM toka niwe na uwezo wa kutambua, nahitaji mabadiliko tena sana, lakini siwezi kumchukia diamond eti kisa anaisupport CCM, huu utakuwa ni ushamba kutokujitambua, haitakuwa na tofauti na wale marafiki ambao kisa tu yeye na wewe ni marafiki basi hataki kukuona na X ambaye yeye na huyo X ni maadui kwa kifupi anakulazimisha uwe adui wa adui yake. this is stupid and kwa akili nilizopewa na Muumba i cant deal. think thwice hasa wale mnaojishetua hapa kuwa mlikuwa mnampenda diamond but now, you are no longer.
 
Hivi MALo Yuko wapi angejifunza kupitia hapo tunataka muziki siyo siasa

hivi ndio kusema mnamjali diamond saaana au ndio wale confused admirers, mara ajifunze kwa marlaw mara ajifunze kwa Mr. nice haya maushauri yooote mnampa, this means what? embu kuweni wa kweli diamond mnampenda saaanaaa au mnamchukia sanaaa,manake dizain kama siwaelewi.
 
mimi sijawahi kuipenda CCM toka niwe na uwezo wa kutambua, nahitaji mabadiliko tena sana, lakini siwezi kumchukia diamond eti kisa anaisupport CCM, huu utakuwa ni ushamba kutokujitambua, haitakuwa na tofauti na wale marafiki ambao kisa tu yeye na wewe ni marafiki basi hataki kukuona na X ambaye yeye na huyo X ni maadui kwa kifupi anakulazimisha uwe adui wa adui yake. this is stupid and kwa akili nilizopewa na Muumba i cant deal. think thwice hasa wale mnaojishetua hapa kuwa mlikuwa mnampenda diamond but now, you are no longer.
daimond kufanya campaign za ccm sio kosa bali yale maneno ya dharau kwa wapinzani (lowassa na sumaye ) aliandika insta et kwa nn wanaoenda ukawa wanaiona ccm ni mbaya baada ya kukatwa au kushindwa kupata nafasi za kugombea sasa we huoni anaingilia vitu visivyomuhusu sasa yeye apige pesa asepe sasa mambo ya vijembe na mipasho ya nini ???
 
sidhani kama mtu akisema ukweli ni dhambi? japo huitwa dhambi kwa wasiotaka kuusikia ukweli huo, alichosema ni kweli tupu, mgombea urais wa ukawa ni ccm damu?? kisa tu kukatwa kawa kama kinyonga from green to magwanda, japo mi ni ukawa lakini najiuliza hilo swali mpaka kesho, kwanini lowasa ahamie ukawa baada ya kukatwa??? woote waliokosa nafasi ccm wamehamia ukawa, does this smell well for u?? Mungu tupe uzima octobar tuione.
 
huwezi kufanya mabadiliko ukiwa ndani ya ccm mbona jakaya ni rais mzuri tuu ila mfumo ulimbadilisha na kuwa jambazi the same to lowassa
 
huwezi kufanya mabadiliko ukiwa ndani ya ccm mbona jakaya ni rais mzuri tuu ila mfumo ulimbadilisha na kuwa jambazi the same to lowassa

uzi uliokuwa umeisuka mfumo wa ccm umeshafumuka almost nusu? na ndio uzi ule ule unaousuka mfumo wa ukawa now, nakubaliana na wewe kupita maelezo kuwa ufumo wa ccm ndio mbovu?? lakini embu jiulize kama kweli kuna aliyetoka ccm kwa minajili ya kuleta mabadiliko na si kushika rungu na kuikomoa ccm? kwanini huyo lowasa na sumaye wasijiunge na chadema miaka yote waje kujiunga kwa vile tuu hawakupewa nafasi na ccm? unataka kuniambia lowasa angetangazwa kuwa mgombea urais wa ccm kama mipango yake ya awali ilivyokuwa maongezi yake yangekuwa haya anayoongea sasa hivi?? kabla ya kukatwa si alikuwa yule wa KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI na sifa kede kede anakimwagia?? leo hii inakiponda na kufichua maovu yake huyu mtu ukimpima ni mwanamapinduzi huyu?? mtu ambaye nitaamini anania ya kuleta mapinduzi ni yule either amekulia upinzani toka awali? au!! amejitowa ccm kwa lengo hasa la kuongeza nguvu upinzani hata kama ccm alikuwa ananafasi kubwa ndani ya ccm lakin kwa mapenzi mema akaona baada ya kukaa ndani ya ccm kwa kipindi flani amegundua maovu na hajapendezwa nayo hiyo akajivua uwaziri (sio kwa kashfa) au ubunge au uwadhifa wowote ule, then akajiunga na ukawa YAANI HUYO NITAAMINI NI YULE ALIYEMTABIRI NYERERE. lakini hawa wanajishauwa wanamapinduzi baada ya kukatwa ccm hawaniingii akilini hata chembe.
 
sidhani kama mtu akisema ukweli ni dhambi? japo huitwa dhambi kwa wasiotaka kuusikia ukweli huo, alichosema ni kweli tupu, mgombea urais wa ukawa ni ccm damu?? kisa tu kukatwa kawa kama kinyonga from green to magwanda, japo mi ni ukawa lakini najiuliza hilo swali mpaka kesho, kwanini lowasa ahamie ukawa baada ya kukatwa??? woote waliokosa nafasi ccm wamehamia ukawa, does this smell well for u?? Mungu tupe uzima octobar tuione.

Mashimo wanayomchia diamond wataingia wao na mabaya yote yatawapata wao mbona wao wako hapa kiushabiki hebu wamwache afanye roho Yake itakavyo.
 
Mimi ni mpinzani damudamu, lkn cmpangii diamond akae chama gan after all kama anapiga pesa kwnn aache?tufanye kaz zet kwa bidii na ubunifu diamond mwenyewe ni mjanja unadhani anasapot bure?? acha atafute ugali wa mama yake bhana..mbona kina jay z walimsapot Obama mpaka leo wapo? hapa kwa diamond ndo imekuwa tatizo!
 
hivi ndio kusema mnamjali diamond saaana au ndio wale confused admirers, mara ajifunze kwa marlaw mara ajifunze kwa Mr. nice haya maushauri yooote mnampa, this means what? embu kuweni wa kweli diamond mnampenda saaanaaa au mnamchukia sanaaa,manake dizain kama siwaelewi.
Wewe kwa sababu umevurugwa huwezi elewa. Yeye alitakiwa kama msanii alitakiwa apige hela apite hivi, mambo ya kuanza kupaka watu jukwaani na kwenye instagram maana yake ameingia kwenye siasa rasmi. Na mimi sera yangu mtu yoyote wa ccm kwangu hatakiwi. Kwanza sijui kama hata uliisikia hiyo nyimbo aliyoimba kwenye Kampeni au unaropoka tu kama mtu alievurugwa utumbo mpana!
 
Jamani mbona wasanii wengi Tu wanashabikia CCM? Mwanafa,Lina, Shilole,Mwasiti Na wengine wengi mbona anaandamwa Diamond? Kweli Diamond nyota inawka!
 
alafu kauli nyingine ambayo haters imekuwa kama addict kwenu, ''NALIONA ANGUKO LA DIAMOND KISANII SIKU SIO NYINGI'' hili anguko toka muanze kuliona limekuwa kama mlima Kilimanjaro hauhami, haurefuki zaidi haupungui.

Subiri uone kama kuna tuzo atakayopata tena,,diamond ndio amejimaliza kabisa
 
Back
Top Bottom