Baada ya mwaka ntakuita hapa kwenye huu uzi uje Ufute hii comment yako, huwa nawapenda sana nyie mnaojifanya wapiga ramli, mwenzio Matola alisema lazima wema sepetu ashinde ubunge nilimuahidi kumkumbusha baada ya kura.
My take: your just no body in people's destinations, Diamond atashuka siku riziki yake ikifika mwisho and not otherwise. U should take a chill and Relax.
Cc. Kimbley mzurimie kimnana Ruttashobolwa chige samsung. Nimewamic jamani.
Mie nipo kipenzi, just nimechoka kujibizana na viumbe wazito, napita kimya kimyaa....
Baada ya mwaka ntakuita hapa kwenye huu uzi uje Ufute hii comment yako, huwa nawapenda sana nyie mnaojifanya wapiga ramli, mwenzio Matola alisema lazima wema sepetu ashinde ubunge nilimuahidi kumkumbusha baada ya kura.
My take: your just no body in people's destinations, Diamond atashuka siku riziki yake ikifika mwisho and not otherwise. U should take a chill and Relax.
Cc. Kimbley mzurimie kimnana Ruttashobolwa chige samsung. Nimewamic jamani.
Unaota ndoto kwani ww si una chama unachoshabikia km huna la kuongea kaa kimya hilo ndo chaguo lk km ww ulivyo na chaguo lako
Yani na wewe unaamini hizi toilet papers magazeti ya shegongo ni toilet papers Lowassa
ni mwananchi kama sie na ana maisha nje ya Muziki
Sioni tatizo kwa yeye kuandika hivyo ni uamuzi wake na nimependa alivyoandika kakaribisha mtu anayepingana nae aseme ni kwanini, ni kama ka dibeiti fulani kaweka.
Kuhusu muziki wake embu wekeni hayo pembeni na maisha yake na yeye aishi kama mtanzania . akiishi maisha feki ndio mtafurahia, anaishi yeye
msisahu kumpigia kura katika makategory na tuzo kibao tujivunie na nchi yetu
.
Duh huyo Diamond nae ni binadamu kama wengine anautash wake jamani. Kwa hiyo unataka asapoti UKAWA kwa vile mashabiki wake wako ukawa. Hii sasa kuingilia utashi wa mtu duh
Pindi akipoenda Arusha kwa Lowasa mbona hamkuandika huu ujinga sasa nyinyi UKAWA si mumpigie kura DAVIDO kama kwenye MTV tuwanyooshe tena afu sio daimond tu wasanii kibao wameweka hiyo logo mbona hujawaandika? We kama ukawa ni kibaka tu na Magufuli atawanyoosha tu!
Msanii bila mashabiki wapi na wapi! sisi ndo tuliokuwa tunampigia kura,vijana wote wa mtaani na kwenye mavyuo wakiisha jua tu chalii ni msaliti mambo yake yameisha.kwenye hii miezi miwili ataonyesha true colour zake na watu wote watamjua,na mambo yake itaishia hapo..Things will never be the same again..
Sitoacha kumpigia kura diamond wangu na sitoacha kumpa sapoti yeyote ile anayostahili kutoka kwangu kama shabiki wa damu.Natambua ni haki yake ya msingi kufanya hivyo na siwezi kumpangia cha kufanya.
Mashabiki wa diamond tupo na tutaendelea kuwepo
Wolper mbona hamjamsema? Au anachofanya siyo kampeni kwa Lowassa?
hahahaha mkuu angalia kama followers wake wamepungua.... hahaha wameongezeka from 944k to 945k hujapunguza kitu!!!!!!!
Hata obama alisapotiwa na takribani wanamuziki wote wa America so sioni ajabu diamond kumpigia debe Mh J.P Maguu Full.Uhuru wa kuamua jambo pasipo kuvunja sheria lazima uzingatiwe.Lakini kumbukeni kuwa Diamon Platz hajaanza leo kutumika na ccm katika shughuli za kichama kwa hiyo kikubwa nikumsapoti kama mwanasanaa lakini asitupotoshe katika msimamo wetu wa kumchagua tumtakae..
Ni aibu kwa msanii kununuliwa kwa "dinner". Wasanii wetu warahisi sana.